Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku ya Tarehe kumi na tano ya wiki iliyopita, katika eneo la Engaruka wilaya Monduli mkoani Arusha,palitokea tukio la Kinyama la mtoto wa Miaka kumi na Tano ajulikanae kwa JIna la Namasi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu instagram Kuna page nika kuta huyo dogo akifanya mahojiano na professor pro Lumumba aiseee nimechokaaaa, kumbe polisi wanamjua huyo dogo ndo mana nilikua najiuliza huyo dogo...
11 Reactions
22 Replies
1K Views
Hii ni wilaya fulani hapa Dodoma. Kweli hili ni jangwa!!
1 Reactions
5 Replies
329 Views
Wakuu kama niliposema! Najiuliza yametoka wapi bado sina majibu. Silali na mtu hajaingia mtu chumbani kwangu Sijaumia popote. Sijawai tokwa damu puani. Mkoa ni kigoma. Napata sana wasiwasi...
14 Reactions
72 Replies
4K Views
Zanzibar imefikisha idadi ya watalii wa kimataifa 743,605 hadi Oktoba 2025, kiwango ambacho tayari kimevuka rekodi zote za miaka iliyopita kabla hata mwaka kuisha. Mwaka jana visiwa hivyo...
3 Reactions
8 Replies
564 Views
Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo. Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
33 Reactions
147 Replies
9K Views
Harmonize moja ya msanii ambaye anaungwana kwa raia mbali na kuwa upande wa CCM, ila anaheshimu sana watanzania wezanke tofauti na yule wa Tandale. Ndio maana hata maandamano ya Oktoba hakuna...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
MADHARA 1. Kwanza kabisa Mafanikio ni bahati sio juhudi tu. Licha ya kupambana, juhudi Ila kuna vitu unavipata kwasababu ya bahati tu. Watu wangapi unaokutana nao kwa bahati tu na watu haawa...
5 Reactions
21 Replies
857 Views
Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii...
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Nauliza tu kama huu mtandao wetu utafunguliwa. Maana Homa ya D9 ni kama inapanda as the time goes by.
9 Reactions
38 Replies
638 Views
Nawatahadharisha kuwa mtandao CRDB ni nyoko ukitoa pesa kwenye ATM kwa simbaking ikagoma wanasumbua kurudisha nilitoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikarudia tena kutoa...
4 Reactions
14 Replies
500 Views
Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini? Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea...
1 Reactions
2 Replies
201 Views
Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd? Afu kuna watu wanashabikia hii serikali ya wauaji. Samuya kaa ukijua auaye...
12 Reactions
71 Replies
3K Views
Ee Mwenyezi Mungu wa rehema na haki, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya kufikia siku ya leo Leo, tumeshuhudia kuapishwa kwa Rais wa Tanzania,,tunaomba umguse kwa hekima na...
4 Reactions
19 Replies
708 Views
CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi...
6 Reactions
13 Replies
343 Views
Wakuu Kuna hili swala Nimekuwa nikilisikia mara kwa mara na watu wanasema ukemee hilo swala la kuota unafanya mapenzi sababu unafanya mapenzi na wàchawi Ila Mimi sikua nakemea sababu sioni kama...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa kata na polisi kata wilayani humo kuhakikisha vijana, hususan wale wanaojishughulisha na...
1 Reactions
12 Replies
362 Views
Kuna watu wamevurugwa kinoma! ========== Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba...
1 Reactions
10 Replies
394 Views
Wakuu habari zenu, Mwaka jana mwezi March kuna jamaa mtaani hapa aliniibia kuku mchana kweupe kabisa watu wanaona, nilipopata taarifa nikamtafuta mtaani nikamkosa, nikaamua kwenda nyumbani kwako...
65 Reactions
171 Replies
6K Views
Salaam! Nimepenyezewa taarifa tokea Dodoma kuwa, Wapo baadhi ya wanakijiji yanapopita marori yaliyobeba makaa ya mawe, wananchi Hawa hukaa Pembeni mwa barabara na kusubiri baadhi ya makaa ya...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…