Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml akumbwa na kadhia kubwa ya aibu na adhabu kali baada ya kushtukizwa na mamlaka za ukaguzi wa miradi nakupelekea kupewa adhabu...
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi kwa daktari aliyekuwa akimtibu msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa na tatizo la uzazi kwa kumdhalilisha kijinsia baada ya kumchoma...
Hiyo ndo kauli mbiu ya Rais Samia. Kwa ufupi ataendelea kuwakaanga vijana wenu mpaka mseme poo yule, mshipa wa ubinadamu ushampotea
Hakuna sehemu nchi inapelekwa hii zaidi ya kudumbukia shimoni...
Kumekuwa na tabia ya mahakimu na makarani wa mahakama za Tanzania kuwataka wateja wao kununua flash au kutoa anwani za barua pepe zao ili kuwatumia hukumu zao.
Hivi jamani 80% ya watanzania...
Na siwezi mlaumu. Kama kwa usiku mmoja alilala nao wote 9 akawadinya wakawa wanakubali tu lazima aliona hawana akili.
Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 2658, kama ilivyoandikwa katika kitabu...
Mlevi mmoja anasema hakuna mchezo mchafu Kama siasa na kupitia siasa Mtu yuko radhi kufanya chochote kwaaajili ya nafasi yake kisiasa mlevi amemaliza kwa kupiga fundo la mwisho la Beers 🍻
Utumbo walio ufanya Sasa ivi unaligharimu taifa..kila sehemu.
Raia hawana Imani na Jeshi la Wananchi. Uadui umekua mkubwa kati ya Polisi na Raia.
Usalama wa Taifa wanaonekana kama migambo wa...
Kuelekea sikuku ya Kuzaliwa Yesu, mkombozi wa wandamu wote, Watu wanasafiri sanna mkoa mmoja kwenda mwengine kujumuika na familia zao kumsheherekea Issa bin Maram au Yesu kama wakristo...
Sheria za Marekani kuhusu kumrejesha mtuhumiwa
• Marekani haina mkataba wa jumla wa uhamishaji watuhumiwa (extradition treaty) na Tanzania, kwa hiyo kila kesi huangaliwa kwa msingi wa sheria za...
Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka
Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale...
Kwa matamshi yake ya leo ni dhahiri mambo yote yalio tokea 29 Oktoba yalikuwa na baraka zote kutoka kwa Rais na watendaji wake.
Hivyo basi tume iliyoundwa kamwe haiwezi kuwa na majibu yenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha...
Msikilizeni Mkuu wa mkoa hapa kisha jengeni hoja.
Ile mihemko ya mitaani hatutaki.
Ukiona hakuna la maana hapa toa hoja yako.
Matusi kila asie na hoja anajua...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi (Mb), amesema kuwa jukumu kubwa la Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) ni kukuza, kuelimisha na kutangaza biashara za...
Stori ilitambaa sana ikihusisha mpaka waandishi wa habari kutishiwa maisha, wazee wa kukata kichwa,
Iko hivi huyo sheikh mwalimu wa madrasa, ALIKUA anamtuma yule mtoto wa kike mdogo sana soda...
Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 1,700,000 wanaoishi na virusi vya Ukimwi.
Amesema kati yao, zaidi ya watu 1,500,000 wako kwenye huduma za matibabu na matunzo.
Dkt. Sumba amesema hayo katika...