Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawapenda sana Wahenga na ule Msemo mzuri kuwa siku zote dalili ya Mvua za TZ na Marekani ni Mawingu yake.
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Inakuwaje muislamu ni kwambia kwa kiswahili amani iwe juu yako. Cha kushangaza hii dini inatakiwa kuelemisha watu waelewe sio kuongea kiarabu mkajiona dunia mpo pamoja yani kuwa shaekh au...
1 Reactions
2 Replies
122 Views
Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria Biashara isiyokuwa na Leseni...
3 Reactions
95 Replies
2K Views
Kufungia account za wanaosema ukweli na wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii kupitia Meta kunaonesha kujipoteza. Mi navyo wafahamu warusi na nchi nyengine ambazo social media zao zijaweza kuwa...
1 Reactions
1 Replies
256 Views
1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi 2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea...
13 Reactions
22 Replies
851 Views
Kama Kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili, Nini kinapaswa kufanyika? Madaktari wa Afya ya akili na wataalam wa saikolojia mtusaidie! Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Kama...
8 Reactions
39 Replies
958 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), William Lukuvi, amesema vijana wenye umri wa miaka 15-24 bado wako katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya...
7 Reactions
46 Replies
1K Views
Wakati wa vita au machafuko makali mara nyingi thamani ya pesa hupungua kwa kasi sana, au hata kupotea kabisa(mtu anagoma kukupa huduma hata kama una pesa.) Anajua makaratasi hayo yanaweza...
0 Reactions
4 Replies
346 Views
Yes hii ipo Tanzania, waziri anagawa watu kwa imani zao, hii ndo shida ya madaraka ya kupewa. Siku za karibuni tumemsikia waziri mmoja akijinadi Ikulu ilikua madrasa wote tunaelewa kazi ya madrasa...
6 Reactions
10 Replies
373 Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Usaidizi wa Kisheria cha Everlasting Legal Foundation (ELAF), Dkt. Hamis Masoud, amelaani vikali lugha za uchochezi wa kidini, akisisitiza kuwa kama tunakwenda kwenye hatua...
0 Reactions
28 Replies
707 Views
Kesi ya Mange yaahirishwa hadi Januari 28, 2026, Upelelezi haujakamilika Kesi ya Uhujumu Uchumi Na. 000021172 ya mwaka 2025 inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi imeahirishwa hadi Januari 28...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote. Chukua hatua mapema Ndugu mteja, kutokana na maboresho yaliyopangwa ya mfumo wa TISS kuanzia tarehe 06/12/25 saa...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea. Mimi nataka...
35 Reactions
147 Replies
17K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza baada ya kutoka hospitali alikokuwa...
37 Reactions
59 Replies
6K Views
Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu...
1 Reactions
11 Replies
516 Views
ESCAPE FROM SOBIBO D9 Kuelekea D9 tunaona jinsi kulivyokuwa na movemet kubwa ya watu kurudi vijijini, Wengi wanaishi maeneo ya uswazi na vipato vya kati, sehemu ambazo kikinuka, mnanuka wote...
7 Reactions
9 Replies
398 Views
Mwamba Kingpusi mchekeshaji maarufu kwenye mitandao ya kijamii na timu yake ya uchekeshaji wanaingiza hela ndefu sana kwa kuposti video zao fupifupi za kitoto na za kujitoa ufahamu. Kwa mwezi...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Niliingia kwenye ajira 2018 ualimu. Mwaka Jana nikakopa million 16 lakini yote imeisha maana nilitia kwenye biashara ya duka la nguo naona hasara tupu hata Kodi ya frame nashindwa kulipa...
73 Reactions
728 Replies
30K Views
GT Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi...
6 Reactions
14 Replies
629 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…