Mdogo wangu kaniomba pesa kidogo anunue matumizi kujiandaa na tarehe 9, Huwenda kukawa na Curfew.
Nimemtumia Pesa kwa Njia ya Kibenki na maelezo hapo nimejisahau nimendika "MAANDAMANO"
JE...
Yule jamaa ukisikiliza mada zake unaweza kujua katoboa kumzidi Bakharesa na matajiri wengine kwa zile kanuni zake.
Si unajua siku hizi umaarufu ndio unapewa idara kwa serikali ya CCM.
Sijui...
Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu...
Barikiwe sana watu wa Mungu, muwe na tafakari njema::::::::: åAkanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya...
Achana na biashara za kukaanga kitimoto na sema bucha la kitimoto chenye chuki kubwa duniani ila ndio nyama tamu ya kumtoa ubwabwa jikoni.
Watu wanasema fursa hakuna ila fursa zipo japo nchi ya...
Inawezekana kwa 2001 kule visiwani hili wazo lilifanya kazi kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ni kutokuwa na maendeleo makubwa ya teknolojia kwa wakati huo. Inasemwa kwamba visiwani kulikuwa na...
Mpaka sasa dini ya haki imeshajulikana ni ipi neno HAKI ni neno hatari sana kwa watawala wanyonyaji, wauaji, wanyanganyi, wezi wa kura...nk
Hawataki kusikia msamiati haki ukitamkwa mbele za watu...
Baada ya Wazee kuhudhuria mkutano wa Rais Samia na kuonyesha kumuunga mkono kwa kupiga makofi na vigeregere kwa kila aliloongea. Vijana wameamua na wao kutowaunga mkono wazee kwenye madaladala.
Leo tukisema wanakuja haraka kujibu na kuja ushaidi wa haraka.
Mwenzetu naona kaleta swali ambalo asilimia 98 hata POLL ya mfumo kwenye JF na sehemu nyengine ijatumika ila wao walikuwa ni Ai.
Hivi kweli jamani? Kwa hii Tanzania mtu akaachiwa urithi wa karibu milioni 900, nyumba ya thamani ya milioni 200 pamoja na mali nyingine kama gari halafu vyote vikaisha ndani ya miaka saba tu? Ni...
Sasa hivi hii December tunao juwana idarani mbona sikukuu zote tutasikia mabaraza yote kila mkubwa anayoitisha
kuna baraza la sikuu jipya linakuja kutoa taamko.
Kitima anacho sema nilisema kabla ya kitima kuwa kuna watu walizikwa wakiwa wazima ila waliitaji kutibiwa majerehaa ya risasi,wengine walipelekwa mochwari,wengine waliitaji ICU, wengine...
Katika kuelekea mwisho wa mwaka, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), unaounganisha mashirika takribani 300 nchini, umeshauri mamlaka kuanza mazungumzo ya maridhiano mapema...
Mkuu wa mkoa Dar es salaam ameagiza polisi na wanasheria kumhoji Kwa kina na kisha kumfikisha mbela ya sheria Fr Kitima Kwa kuhusisha Tanesco na utekaji
Tukumbuke Fr Kitima alisema kuwa kuwa...
Rare earth elements (REEs) au "Madini adimu" ni muhimu kwa maendeleo ya teknolojia za kisasa na yametambuliwa kama rasilimali muhimu za madini na nchi nyingi zenye uchumi mkubwa duniani.
Afrika...
Eze 11:19 SUV
[19] Nami nitawapa moyo mmoja, nami nitatia roho mpya ndani yao; nami nitauondoa moyo wa kijiwe katika miili yao, nami nitawapa moyo wa nyama;
Tunaona jambo kubwa sana limeezwa...