Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii siku ni ndefu Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi? Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi Hata sijui hii serikali wanataka...
17 Reactions
42 Replies
1K Views
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe. Baada ya Maandamano...
9 Reactions
97 Replies
2K Views
Ulimuswano Mwanaweswe!. Moja kwa moja kwa mada. Najua vijana na baadhi ya wananchi kwa ujumla wa Taifa hili Tanganyika kama siyo Tanzania. Walio wengi wanatakani sana mabadiriko kisiasa...
5 Reactions
12 Replies
930 Views
Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
Mnapataje network nyie
1 Reactions
6 Replies
301 Views
Ndugu zetu mliopanda mabasi na kutokomea mikoani huko ebu acheni kupiga piga simu kuulizia hali ya huku, sisi sio mareporter kwaio mlivoondoka huku mlitegemea nani ataingia barabarani
4 Reactions
6 Replies
244 Views
Ninaamini kuwa wapo baadhi ya Watanzania wamekuwa wakifanya mzaha na mamlaka ya raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Dkt Samia tangu alipoingia madarakani, walipoanza kudhibitiwa...
1 Reactions
25 Replies
558 Views
Habari wanajamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada. Sitaweza kuelezea kwa kina utendaji wake kwa vile Mwenyezimungu bado hajanibariki nafasi hiyo, lakini Nyansaho alikuwa anaogopeka, yaani ni mtu...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Baada ya kuona hakuna njia za kujipenyeza ili mkafanye uhalifu kwa kisingizio cha maandamano waandamanaji na wao wamekubali kutii mamlaka kwa kukaa majumbani.
0 Reactions
2 Replies
235 Views
Anonymous
Imeoza kwa sababu: 1. Mkurugenzi hana spirit ya Uongozi ndani, japo amekaa sana Tamisemi Kama bunch officer hivyo anashindwa kuwasimamia wasaidizi wake 2.Mkuu wa Idara ya Utumishi (MHRO) ana...
1 Reactions
4 Replies
251 Views
Kwa Sasa tuna hasira na wivu mkubwa, tukishiba ubwabwa kwenye masinia ni kuanza kupinga andiko la TEC Sasa unalalamika ati kanisa linapata ruzuku nyingi za serikali Sasa unataka serikali wakupe...
4 Reactions
9 Replies
320 Views
Kanisa Katoliki na Tsh Bilioni 19 Kanisa Katoliki ni taasisi tajiri sana duniani, shirika lao moja tu la Opus dei lipo kwenye orodha ya taasisi 10 za kidini tajiri duniani. Ukichukua utajiri wa...
11 Reactions
16 Replies
934 Views
Haina salamu hiyo. 1. Wanaharati walituaminisha kuwa Magufuli ni zaidi ya Shetani 2. Wanaharakati walituaminisha kuwa Magufuli ndio chanzo Cha matatizo 3. Wanaharakati walituhamasisha Magufuli...
34 Reactions
79 Replies
2K Views
Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya...
11 Reactions
30 Replies
912 Views
Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu. Nawasilisha. (1)Uzi wa watoto wazuri worldwide. Special Thread: Picha za...
12 Reactions
57 Replies
17K Views
Najaribu kuwaza, kuna polisi wanaishi mbali na vituo vyao vya kazi, sasa kipindi kama hiki cha maandamano wanatoboa vipi mpaka kufika vituoni mwao? Wanapishana vipi na kundi la waandamanaji?
0 Reactions
9 Replies
341 Views
Hizi kashikashi zilizoanza kabla ya wakati wa kampeni, wakati wa kampeni ,baada ya kampeni, maandamano ,kukipambania chama cha mapinduzi nk bila shaka jamaa wameingiza mpunga wa kutosha kupitia...
2 Reactions
5 Replies
233 Views
Wanaokaa nje ya miji zile athari zinazotokana purukushani za maandamano huwa haziwakumbi hata kidogo. Maswala ya lockdowns , maduka kufungwa ,milio ya risasi, vitu kupanda bei kiholela, wao huwa...
0 Reactions
3 Replies
172 Views
Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari. Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua...
8 Reactions
14 Replies
458 Views
Kikwete ndiye rais mstaafu pekee aliyebaki hai mpaka sasa , hivyo neno lake kwa namna moja au nyingine lina nguvu . Kabla ya uchaguzi, Kikwete alikuwa anaonekana sehemu mbalimbali tena utakuta...
1 Reactions
11 Replies
347 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…