Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Akitoa salam za pole Mh. Nchimbi alisema yeye ni Mkristo Mkatoliki hivyo watamzoea taratibu. Wakumzoea taratibu ni waombolezaji au wale wote wanaosema yuko kimya kwa yanayoendelea nchini kuanzia...
13 Reactions
24 Replies
1K Views
Leo katika pitapita mtandaoni, nikakutana na stori ya Tariq awadh kipemba. Huyu jamaa ALIKUA na mshikaji wake said, huyo said ALIKUA upinde yani shoga. Basi bhana kutokana na u handsome boy wa...
12 Reactions
86 Replies
3K Views
Wakuu baada ya JF kulimwa kifungo cha siku 90, kisicho na kichwa wala miguu. Sisi tuhesabu siku zilizobakia kuelekea Uhuru wetu, ili hata wakitubania haya waone wao. I mean no malice to nobody
17 Reactions
105 Replies
3K Views
Hii imekuja baada ya papa kiongozi huyo wa dini kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo. Ambapo baada ya kutoka hospitali ameonekana kuwa tofauti kabisa na awali, licha ya kusema alizungumza na...
18 Reactions
84 Replies
4K Views
Kuanzia airport mbeya mpaka songwe njia imefunga Tunaotumia barabara hiyo tuwe wapole 13|12|2025 sababu ya foleni ni ajali ya lori hii hapa 👇
3 Reactions
2 Replies
276 Views
Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliolala usingizi wa milele, nyie mmetangulia na sisi tutafwata sema hatujui siku wala saa. Ni kweli ndugu zetu wanaondoka kila siku wapo tunaowafahamu na...
1 Reactions
5 Replies
206 Views
Achana na kina mwamposa janjajanja ya mjini hakuna lofoten ila huyu LEMA huenda akawa Nabii asilimia 75% ya mambo ambayo alikwisha sema au atakayosema kuhusu mtu fulani basi bila shaka hutokea...
7 Reactions
16 Replies
786 Views
Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu kusimama kwa huduma ya Meli ya MV Victoria, ufafanuzi umetolewa, kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria...
3 Reactions
3 Replies
524 Views
Mwenyeji wa Rombo tarakea hapa ananiambia wakazi wa Tarake, Rongai na maeneo mengine ya Rombo maji ni ya kuunga unga, wakati huo Kuna Bomba kubwa sana linatoa maji kutoka kwenye chem chem za chin...
6 Reactions
19 Replies
502 Views
Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani? Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
1 Reactions
15 Replies
406 Views
Inatia mashaka sana na hasira hasa kwa ndugu na wanafamilia kwa ujumla, familia haiko huru na mwili wa ndugu yao. Ndugu wameleta daktari ili afanye vipimo lakini serikali imekataa, kwanini ikatae...
9 Reactions
53 Replies
1K Views
Msomi na Mshauri wa Diplomatic & Military History Robert Alex Kisunte si msomi wa kawaida; kila somo lake ni safari ya kuelewa nguvu za dunia, mikakati ya kijeshi, na maamuzi ya kidiplomasia...
5 Reactions
15 Replies
442 Views
✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua...
2 Reactions
3 Replies
222 Views
JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka...
6 Reactions
51 Replies
749 Views
Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Arusha, jana Desemba 13, 2025 ulifanya kikao cha dharura katika Kanisa la ARCC Sakina, kujadili madai ya Vitendo vya Unyanyasaji vinavyodaiwa kufanywa na...
0 Reactions
3 Replies
277 Views
Baraza la Wazee wa Mila na Desturi mkoani Ruvuma limetangaza uamuzi wa kuisimamisha mvua isinyeshe kuanzia leo Desemba 13, 2025 hadi Desemba 16, 2025, siku ambayo aliyekuwa Mbunge wa Peramiho...
2 Reactions
13 Replies
442 Views
Wakuu, JamiiForums ni jukwaa la watanzania wote, ambapo ndani yake unapata kila kitu tena kwa ubora na weredi wa hali ya juu ikiwemo habari, burudani, michezo, mapishi, siasa, uchumi, lugha,nk...
17 Reactions
57 Replies
2K Views
DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu DOGMA ndani ya ukristo 1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika...
28 Reactions
384 Replies
12K Views
Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
1 Reactions
11 Replies
372 Views
Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala. Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana Nadhani kwa...
19 Reactions
286 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…