Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mabeberu wanakausha vyanzo vya maji makusudi ili kuwagombanisha Waafrika na serikali zao 😂😂😂 mwl
10 Reactions
42 Replies
647 Views
Clemence Mwandambo: Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, watu waoishi kwa kodi zetu kwa ndio wamekuwa wanatunyanyasa, wewe fikiria afisa mtendaji tu anajisikia boss lakini anaishi kwa kodi zetu...
9 Reactions
16 Replies
440 Views
Chief Hangaya ameidhirishua Dunia kuwa chief hodari mwanamke wa Karne hii ya 21, ameionyesha Dunia kuwa ni chief mwanamke mwenye uwezo mkubwa wa kuilinda himaya yake na watu wake. Huu uhodari...
1 Reactions
1 Replies
180 Views
Wakuu, kwa maeneo niliyotembea hapa Tanzania naona kama uwekezaji upo haba sana, namaanisha uwekezaji wa makampuni makubwa. Inaonekana miji yetu inakua kwa kasi ila maghorofa hamna, mfano...
1 Reactions
6 Replies
296 Views
Bei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo: ◼️Soko la Dunia TSH 344,033/= ◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/= ◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/= Just 1 gram...
11 Reactions
75 Replies
2K Views
Nauliza hivi kwakuwa nimeshaonya sana Mtaani Kwangu Wezi wa Kuku Bandani Kwangu ambao walikuwa wakija sana Kuniibia mida ya Asubuhi hadi Jioni hivi na leo kwakuwa niko Off, ila wao wanajua huwa...
7 Reactions
24 Replies
654 Views
Wakuu, Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Ni miezi kazaa SASA tangu promosheni hii ya Gesi yente Kwangua ushinde imepita, ila sikuwa kusikia mtu kashinda hata kikombe, Kwa zile zawadi walizo weka pale kwenye ile sticker . Je, wakuu kuna...
2 Reactions
5 Replies
225 Views
Jambazi anaweka wezi kuomba wananchi wajue kilichotokea ndio haya. Hii tume inataka kujua nani kavunja amani tu ?. Kama mumeona wanacho kisema ni wazi vifo sio kazi yao.
1 Reactions
4 Replies
189 Views
Hi ni tabia inayokera sana mtu anakupa namba ya simu ambayo anajua kabisa haina salio unawasiliana naye kupia namba hiyo badae yeye anakujibu au anakubip kwa namba tofauti kabisa,huo ni ushenzi...
11 Reactions
38 Replies
1K Views
Marehemu ruge is best sio huyu majizzo. Marehemu ruge ana kwambia mungu na teknolojia ndio vitakuumbua kwa dunia ya sasa. Ni kweli kabisa ndio maana kufanya interview na Odema inabidi kufanya...
1 Reactions
2 Replies
219 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa wahindi wa imam Hussein dhehebu ambalo kiongozi wake ni ayatollah wanajielewa sana hawa jamaa Kwanza hawakubali kujenga nyumba pasipo...
5 Reactions
14 Replies
428 Views
😄 Hivi mkuu wa kikosi kazi wa kujilimbikizia mali unataka kuwajibisha wanao jilimbikizia mali. Wote mnafaidi sasa ulitaka nani kutofaidi hii keki. Waziri mkuu hapa umechemka kama kuku wa kwenu...
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Salamu ndugu wana JF Moja kwa moja kwenye mada. Chukulia kwamba Mungu amekupa uwezo wa asili wa kufundisha na katika kuishi kwako umegusa watu kwenye maeneo mawili muhimu: 1. Elimu ya kitaaluma...
1 Reactions
12 Replies
337 Views
Wakati wengine wakiwa kwenye msiba,tulia yeye katuma kijembe kwa njia ya mafumbo.
13 Reactions
59 Replies
2K Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa taarifa kwa umma kuhusu mabinti wanafunzi wa chuo kikuu waliomdhalilisha binti mwenzaoa, taarifa...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Vyombo vya habari vimekuwa vikikipa uzito huyu mdudu kama kuonesha imani potofu bado zina pewa nguvu. Huyu mdudu ni kama wadudu wengine sawa na kipindi cha nyuma fisi kuwa kwenye maeneo ambayo...
3 Reactions
6 Replies
252 Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa Tisa kwa tuhuma za kujiingizia fedha kwa njia zisizo halali kupitia mitandao ya kijamii pamoja na simu za mkononi, kawa kuwarubuni wananchi...
1 Reactions
5 Replies
550 Views
Dini mpya zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kuweza kutuaminisha dini za mababu zetu zilikuwa za ovyo, Mtu akienda kijijini kwao akiambiwa kuna tambiko anaogopa na kutetemeka, wengine huwa...
1 Reactions
3 Replies
170 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…