Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ama kweli tembea uone! Congo DR, ni sehemu ambayo maeneo mengi ili ufanikiwe kutoboa, ni lazima uwe umehitimu ubabe kwa zaidi ya alama 1000%. DR, ndilo eneo ambalo maovu, umafia na hata unyama...
48 Reactions
138 Replies
21K Views
Huyu mwenzenu says it all. Wanawake na mihemko ni damu damu. We are doomed as a nation!.
9 Reactions
70 Replies
1K Views
Ukifika muda wa jioni China Guangzhou ndio unakuwa muda wa wamachinga ili kuondoa msongamano na wenye maduka ila pale Kariakoo hakuna ilo. Kizuri pale Guangzhou ndio muda ambao wajasiliamali...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Dhulma, uonevu na usaliti naviepuka sana. Nikikumbuka nyakati tofauti nilivyodhulumiwa, kuonewa na kusalitiwa kwenye maisha yangu najawa na ghazab na visasi ila baadaye na potezea. Hii hali...
4 Reactions
3 Replies
185 Views
Jiji la Arusha limejaliwa rasilimali nyingi hasa kwenye sekta ya utalii lakini mpaka leo hawana stendi ya mabasi zaidi ya zile za watu binafsi ambazo na zenyewe nafasi ni finyu. Jiji limekaa kaa...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na...
1 Reactions
2 Replies
233 Views
Serikali imekuwa ikisisitiza matumizi ya CNG badala ya dizeli kwenye magari ya umma(MWENDOKASI) kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kulinda mazingira. Swali langu ni: ikiwa gharama...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Wakija mbele ya Wananchi wanaonekana kama malaika lakini wanapoondoka huonekana kama ibilisi. Hiki ndicho unachoweza kusema maisha baada ya kampeni na kumalizika kwa uchaguzi. Ni jambo la kawaida...
0 Reactions
5 Replies
242 Views
Naomba sifa hata Kwa picha za hawa wanaotrend kwasasa kama sheubwabwa. Naomba Uzi wangu uheshimiwe usikashifu mtu.
4 Reactions
15 Replies
345 Views
Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla...
2 Reactions
3 Replies
340 Views
Kwa machawa utasikia "mama kafanya" haya mwambieni kuhusu maji. Hakuna Dar es Salaam wala mikoani ni yale yale tena kanda ya ziwa ndio kabisa yani shida ya maji ni mgao. Wizara inapitisha bajeti...
3 Reactions
12 Replies
302 Views
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu...
92 Reactions
304 Replies
14K Views
Yule Shekh Mkata vichwa alikosea kuongea vile , Ila ndo aliua huo mchezo wa UDINI . Ile watu walipoanza kuudhuria kanisani na makanzu tatizo likawa solved.
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Moja kwa moja. Baada ya Oct 7 Hamas kufanya tukio baya la kijinga ambalo hata Mimi nilililani hapa Jf , serikali ya Netanyahu chini ya IDF ikafanya mashambulizi na mauaji ya kutisha ambayo...
7 Reactions
90 Replies
2K Views
Katika hali ya kustaajabisha na Kuhuzunisha ambayo haijawahi kutokea, watoto watatu wa kike wajulikanao kwa majina ya Seyo Koila, Kitindi Ngai na Timbayani Salangati walichukuliwa mwaka 2015...
9 Reactions
100 Replies
3K Views
Katika onesho la rangi, ubunifu, na kujifunza, mamia ya watoto wa shule katika Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar, walishiriki katika shindano la kunakili bango kwa mkono lililoandaliwa ili kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki uliodumu kwa miongo kadhaa, ukistahamili nyakati zinazobadilika duniani. Urafiki huu umezaa uhusiano na ushirikiano wa kuaminiana, kuheshimiana...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Wakazi wa Luponde halmashauri ya mji wa Njombe na watumiaji wa barabara ya Njombe - Ludewa wameiomba serikali kufanya marekebisho ya muda mrefu ili kuondoa adha ya magari kukwama wakati wa kipindi...
1 Reactions
11 Replies
442 Views
Ni makosa makubwa kuwashutumu Wananchi kuwa wanachukizwa na matendo ya Wasanii kujihusisha na Siasa Swala la kujihusisha na Siasa ama Chama cha Siasa ni haki ya kila Mwananchi na Mwananchi...
3 Reactions
36 Replies
953 Views
Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo. Ama sikukuu yoyote ile ya kidini. Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za...
7 Reactions
60 Replies
862 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…