Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna tetesi chini ya kapeti ,umeme utaanza kusumbua sumbua mara kwa mara na lengo kuu kwa walioshika mpini ni kufanya biashara ya majenereta. Hivyo basi, inasemekana pia hata hayo majenereta nayo...
9 Reactions
33 Replies
678 Views
Ni muda umepita tangu uchaguzi wa igunga umalizike,kuna huyu jamaa anaeitwa mwigulu nchemba alikuwa anagawa hela siku ya uchaguzi,tulipo pewa habari tulianza safari ya kufuatilia kwenye kata ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi. Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwa sasa nimeshindwa kuelewa wakihisi kwamba sio CCM .Wakikukamata wa kikukagua wakakuta una kadi ya CHADEMA au kukupekuwa nyumbani kwako basi vyombo vya ulinzi unatafutiwa kesi. Je vitendo hivi...
2 Reactions
11 Replies
303 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed kumuita mkandarasi aliyekua anajenga barabara ya...
1 Reactions
6 Replies
248 Views
Odero: Lissu kuwa gerezani hakuzuii maridhiano kufanyika. Mazungumzo yanaweza kumaliza changamoto tunazopitia CHADEMA Kada wa CHADEMA, Charles Odero, amesema ni muhimu kwa vyama vya siasa na...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha...
48 Reactions
383 Replies
27K Views
Leo πŸ˜„ ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi. Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa. Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa...
4 Reactions
8 Replies
450 Views
Habari wadau,kama title inavyojielezea. Hii loan restructuring kwenye mfumo wa utumishi ikoje hasa? Maana naona upande wa benki ya CRDB haiko active
1 Reactions
1 Replies
240 Views
πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘›πŸ‘› πŸ—£οΈWengi ukiwauliza uchawi ni nini watakuwa na tafsiri tofauti tofauti lakini hauna maana moja ya kuuelezea, 🫡uchawi umebeba maana nzima ya kuumbwa binadamu na ulimwengu kwa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu. Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja...
3 Reactions
14 Replies
365 Views
Hali ishakuwa ngumu, Kila mtu ana haha, hata zile sms za mbona kimya nazo hatujibiwi, fight fight fight, muda wa siasa uwepo muda wa mishemishe nao uwepo, tujitahidi kupambana sana. Mh mengi...
5 Reactions
9 Replies
357 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania imewahukumu kunyongwa hadi kufa maafisa watatu wa Uhamiaji; Fredrick Kyomo, Joachim Trathizius na Mabruki Hatibu, kwa kosa la kumuua Enos Elias, mkazi wa Wilaya ya Kakonko...
5 Reactions
15 Replies
615 Views
Meseji hii kanitumia INBOX: Hello darling. How're you doing?, my love i must tell you, I'm no longer happy here . My life has been miserable here for the last 3 years. I am a beautiful woman...
2 Reactions
7 Replies
589 Views
Kwanini tusianzishe utamaduni kila anapofariki kiongozi mkubwa CCM weekend hiyo inakuwa spesho kwa ajili ya kusikitika kifo chake. Bar zote na sehemu za Starehe wanakuwa na theme ya kusikitikia...
2 Reactions
5 Replies
127 Views
nimekaa nikawaza kwa jinsi nilivo na wakati mgumu sasahivi huku nikifikiria kuwa shida yangu kwa sasa inaweza tatuliwa tu kwa laki mbili, lakini kuna mtu ameweka mamilioni benk au wamechimbia...
2 Reactions
9 Replies
717 Views
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamii forum, Watu (Wananchi ) wamekuwa wakilalamika juu ya hadha (usumbufu) wakati wakifuatilia juu ya kubadili majina Yao yalikosewa NIDA . Kitu cha kwanza...
18 Reactions
89 Replies
18K Views
KAMA MNATAKA MALI Wanaotaka hawaogopi. Kama mnataka mali, basi kwanza mtambue kuwa utajiri si dhahabu iliyo ardhini, bali ni dhahabu iliyo akilini. Mali haianzi kwenye miguu ya wanaokimbia...
5 Reactions
4 Replies
165 Views
Hamjamboni watanganyika wote,mambo mazuri hayataki haraka tuna enda vzur Jamani nashindwa kuelewa pamoja na biashara ya vyuma chakavu kushamiri tz lakin kwanini bado kwenye magereji huko mitaani...
1 Reactions
16 Replies
385 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…