Je huu ndio Utaifa wa mwigulu McKenna? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ndio Utaifa wa mwigulu McKenna?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kamanda mkuu, Oct 7, 2011.

 1. k

  kamanda mkuu Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muda umepita tangu uchaguzi wa igunga umalizike,kuna huyu jamaa anaeitwa mwigulu nchemba alikuwa anagawa hela siku ya uchaguzi,tulipo pewa habari tulianza safari ya kufuatilia kwenye kata ya bukoko tulipofika tukaambiwa alikuwepo ila tayari kaelekea kijiji cha simbo tulipowapigia takukuru hawakuja ndipo tukaamua kwenda wenyewe tukamkuta njiani anarudi,tulimfokea sana na aache mara moja vinginevyo ingekuwa mengine,sasa Kama ccm wanajiamini kwanini watumie hela?p
   
 2. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Palipo na udhia penyeza rupia
   
Loading...