1: JORDAN PETERSON
https://youtube.com/shorts/bUynwmuTZA0?si=eoQeDd8uByUwS1ar
2: BEN SHAPIRO
https://youtube.com/shorts/fBLCnVkJ5vY?si=7Y48SE_E2PL9sukM
3: CHARLIE KIRK (RIP)...
Toa ushahidi au maoni kwa Tume kuhusu matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi mkuu kwa SMS/WhatsApp: 0743 040890 au kupitia https://tume.uchunguzi.go.tz
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameleta tabasamu kwa Wananchi wa Nzali na Itiso baada ya kuanza kutumika kwa Daraja la Nzali lililogharimu Shilingi...
Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la...
Hoja inaeleweka sana, na hisia zangu zinawakilisha malalamiko ya watumiaji wengi wa JamiiForums.
Kwa kifupi, sababu kuu zinazofanya serikali ya CCM na baadhi ya watendaji wa TCRA kuonekana...
Hello Wakuu.
Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii.
Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again"
Nimeenda office ya NIDA...
Wakuu nina budget ya 150000, baada ya feni yangu niliyokuwa natumia kuharibika, nikapata idea ya mini A.C.
kuna baadhi ya A.C naona zinauzwa, yaani zile A.C ndogo za kusimama.
Naomba mtu yeyote...
Wakuu,
Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kuna nyimbo ambazo zikipigwa, moyo lazima usimame na kutafakari. Moja ya nyimbo hizo ni ule wimbo maarufu wa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000 uitwao...
1️⃣ Majoho yamekuwepo katika historia ya binadamu kama alama ya mpito wa hadhi—kutoka mtu wa kawaida kwenda mtu mwenye dhamana maalumu mbele ya jamii.
2️⃣ Kiimani, joho humaanisha kujitoa: mtu...
Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba...
Ukihitaji salamu nenda mbeya kwao Lucas mwashambwa ukamsaidie kulima Mtama mkimaliza atakusalimia,kwangu utaambulia chuya Ukawalishe bata!
Sijajua siku hizi vijana wana matatizo gani!
Kwa...
Wakuu!
Naomba nielezee na hii walau kwa uchache.
Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti...
Moja kwa moja.
Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga...
Kwa sasa, betting ni janga kwa waafrika na neema kwa matapeli na watawala mafisadi.
Je, chanzo zaidi ya ujinga na uvivu wa kutafuta ni nini?
Alaumiwe nani lati wanaobet, wanaoendesha betting, na...