Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Imeleezwa kuwa si sahihi kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na viongozi wako hawako tayari kushiriki maridhiano, badala yake Watanzania na wadau wengine 'wa amani' wanapaswa...
2 Reactions
13 Replies
312 Views
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni...
63 Reactions
368 Replies
12K Views
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Sheikh Hemed Jalala, amewatakia Watanzania wote, hususan waumini wa dini ya Kikristo, heri ya Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa duniani kote kama...
2 Reactions
6 Replies
279 Views
Anaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
2 Reactions
8 Replies
219 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika...
1 Reactions
15 Replies
416 Views
Hata kama wizi upo kote ila kwa waafrika ni default settings Lori likipiga mzinga default settings za waafrika huwa ni Baraka imeshuka, watu wanajsevia hawajali hasara wanayotengeneza Mwajiriwa...
4 Reactions
11 Replies
315 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewataka wananchi kuchukua tahadhari za kiusalama katika kipindi hiki cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya huku likiwataka kuondoa hofu kutokana na Jeshi hilo...
2 Reactions
2 Replies
191 Views
Baada ya juzi kupitia mtandaoni, nikaona WAPALESTINA wakristo wakijiandaa na sherehe za xmass nika shangaa hii kumbe Kuna WAPALESTINA wakristo, swali wanaishije na waislamu au wanaishi Israel?
3 Reactions
18 Replies
269 Views
Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi...
2 Reactions
2 Replies
251 Views
Wapambanaji na wafurukutwa habari ya jioni. Naomba kujua kuhusu biashara ya hewa ukaa kwa uzoefu katika maeneo yafuatayo: 1. Maana ya biashara ya hewa ukaa. 2. Vitu vya kufanya ili ukidhi vigezo...
0 Reactions
3 Replies
272 Views
Watanzania ifike sehemu Tupunguze unafiki tukiamua kupenda unafiki basi tukomae nao bila kuficha, Na tukiamua kuacha unafiki Tuache bila kuficha... Kiwango kikubwa hicho cha unafiki huwenda...
1 Reactions
3 Replies
305 Views
Helikopta ya kampuni ya uokoaji Kilimediair Aviation imepata ajali katika Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na kusababisha vifo vya watu watano, wakiwemo raia wa kigeni wawili, rubani na daktari...
1 Reactions
10 Replies
581 Views
JESUS LORD Uzi tayari.
1 Reactions
2 Replies
81 Views
Moshi ni kama Ulaya tu nenda uchagani na upareni kule Usangi uone maendeleo Nenda chuga uone Watu wa kaskazini maendeleo hayakuletwa na hizo serikali zenu haramu Sisi hatuongozwi kizembe na mtu...
7 Reactions
22 Replies
448 Views
Lazima tuulizane maswali yenye mantiki hapa. Tulienda shule ili tupate ufahamu tusibaki kule au kuwa walewale wa zamani au kama babu zetu wa enzi zile. Usomapo Biblia hasa kuhusu uzuri wa...
5 Reactions
33 Replies
598 Views
secretarybird Mjusi Sharobalo Vincenzo Jr ila huyu jamaa HAYA LAND yupo kila mahala😂😂
8 Reactions
15 Replies
502 Views
Nchi hii Rais Kikwete aliweza kufungua uchumi uende kwa wananchi, ndipo Watanzania wakafungua makampuni kwa wingi, watu walijenga mpaka maghorofa, biashara zilianzishwa, nyumba za kisasa Tanzania...
2 Reactions
4 Replies
248 Views
Hapa Mbezi Luis kwa Yusuf Kuna mzunguko ambao magari yote yanagawanyika,yanayotolka Kibaha, yanayotoka kinyerezi,yanayotoka Mpigi magoe yanayotoka stendi ya Magufuli yote yanakutania hapa,sasa...
1 Reactions
10 Replies
316 Views
Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume. Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume Unakuta...
2 Reactions
9 Replies
344 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…