Salam!
Usilolijua neno SANTA. lilibadilishwa herufi makusudi kutoka neno SATAN.
Tamaduni za watu wa magharibi huwafundisha watoto wao kumwandikia barua Santa Ili kuchagua zawadi wangependa pokea...
PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU WAANDISHI WA HABARI NA VYAMA VYENU VYA TAALUMA.
JF ilishamaliza the so called adhabu ya kukiuka maudhui kama walibyodai wao ingawa JF...
Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha
1. Samia kuwa kifuani, mbele
Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na...
Wanajamvi
Mo 29 na kuendelea ni kipindi ambacho nchi yetu iliingia katika kiza kinene, anga lake likiwa limefunikwa na damu, huku ardhi yake ikilalamika kuelemewa na miili ya Tanganyika ikiomba...
Hii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.?
Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted...
Mchachango wa Oscar kambona ktk Taifa letu ni mkubwa sana lakini inastajabisha kuona mtu huyu hakumbukwi kwa lolote lile hakuna hata mradi uliopewa jina lake !? , kwakweli Jasho la huyu mtu...
Mtu yeyote anayesaliti msimamo wa wenzake kwenye kikundi chochote hata kama ni maskani ya kunywa kahawa hastahili kunyamaziwa ama kutengwa pekee , anatakiwa kutimuliwa ndani ya kikundi hicho...
MATRIX YA FAHAMU:
JINSI UNAVYODHIBITIWA BILA KUFUNGWA MINYORORO.
Utangulizi: Minyororo ya Kisasa Haionekani
Zamani, utumwa ulitambulika kwa minyororo, viboko na minara ya walinzi.
Leo, hakuna...
Sioni sababu ya kuita press kulalama eti Chrstmass ni haramu
Hapohapo ikitajwa Maulid unaona ni sawa
Ogopa sana akili ikikaa kishabiki, utakufuru bure,
Huamini dini yao kiherehere cha kupinga...
Nimeona kwa wenzetu kenya wana idara inajitegemea inaitwa Independent oversight authority (IPOA).
Kama polisi watafanya makosa basi wanaweza nao kuchunguzwa na kukamatwa na hiyo idara.
Ila hapa...
Mzuka wana j. f... Nitangulize pole zangu kwanzaa kwa kadhia za maandamanoo, aisee ata mm mwenzenu tarehe 30 almanusra niende kwa rabana maulana mazeee dah staki kukumbukaa..Nlitokea kitaa huku...
Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.
Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu...
Baba wa Mbinguni wanaume wote
Tusio na connection yoyote.
Tusio na kazi maalum
Tusio na urithi wa kurithi
Tunaotegemewa na familia hadi ukoo
Tusio na uhakika wa tunachokifanya
Tunaopitia nyakati...
Leo nipo mkoa wa shinganya wilaya ya kahama kikazi.
Hongereni kwa kupewa manispaa sasa.
Il nilichogundua kahama ina mchanganyiko wa watu wengi sana na wanachi wamejenga yani majengo unayokutana...
Eze 28:17 SUV
[17] Moyo wako uliinuka kwa sababu ya uzuri wako; umeiharibu hekima yako kwa sababu ya mwangaza wako; nimekutupa chini, nimekulaza mbele ya wafalme, wapate kukutazama.
Mfalme wa...
Injili iliyoletwa na Kristo, ndiyo neno pekee la Mungu lililoleta ukamilifu wa maagizo yote yaliyotangulia yaliyokuwa na mapungufu mengi.
Yesu Kristo alisema kuwa hakuja kuitangua torati ya Musa...
Halafu tofauti na mikoa mingine kwenye suala la ushirikina, mikoa hii unakuta watu wanachukulia poa wanajua flani ana majini 40, flani hachezewi anakutupia majini, ni sehemu zinazosifika kwa...
Kuna vitu vingine wala huhitaji akili kubwa sana kufikiri, kama hili la mauaji ya Octoba 29. Ukiangalia katika mikoa yote ambako maandamano yalikuwa na nguvu, askari walipiga waandamaji risasi...