Wakristo tofauti na Waislamu wanaodai bila kufikiri kuwa Kurani haina makosa, hatubishi kuwepo kwa makosa katika Biblia.
Je hilo linamaanisha kuwa Mungu wa Biblia alishindwa kuilinda Biblia...
Mtu aliekuja afrika akamchapa babu yako ili amlazimishe achukue dini yake ndio huyo huyo leo anakuambia kuwa ukiua mwafrika mwenzako asieamini kama wewe utapata fahari mbinguni.
Ndio huyo huyo...
Kukitokea kashfa ya kweli maana ni kweli sio makusudi mnacho kifanya.
Ilitokea risiti ya TRA ya abdul karibia mabilioni ya manunuzi ,watu walipo tangaza tu mkafunga mfumo wa kujua utambuzi TIN na...
Nilikuwa sikutilii maanani mwanzoni, ni kutokana na mambo mbalimbali yaliyokwisha na yanayoendelea hata sasa.
Ila una kitu.
Vitu vikubwa.
Ninatumaini siku moja tubadirikiwe na viongozi wenye nia...
Kuna mapolisi wengine ni wana hofu na mungu ila ni ngumu kuwaona na wanapigwa vita.
Nakumbuka kuna mkuu wa kituo pale magomeni alikuwa mtu wa swala tano ,yani hataki kuona mtu kaonewa ila...
Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake...
Nchi tulivu, Maendeleo makubwa yapo na Watu wanapambana kwa kufanya Kazi.
Na nimegundua mambo mengi mabaya juu ya Tanzania yalikuwa ni Uzushi mtupu.
Rais Samia Asante kwa Amani na Maendeleo na...
Habari Tanzania !
Napenda kuleta wazo hasa kwa Serikali Tanzania na Vijana wa Tanzania endapo ikiwapendeza.
Tuanzishe taasisi ya Vijana Ujenzi Taifa; waajiriwe vijana wenye nia na kutumika...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imezindua namba maalum ya kutuma ujumbe mfupi wa simu bila malipo, 15274, itakayowawezesha wananchi kufuatilia kwa urahisi taarifa za maombi ya utambulisho...
Habari wadau....tunakoishi Mwanza hasa maeneo ya kuanzia Nyegezi na kuendelea mbele njia ya kwenda Shinyanga tunateseka sana na Barabara hiyo hasa mchepuko wa SGR Barabara imejaa mashimo pamoja na...
Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM.
Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri.
Said Salim Bakhresa alikuwa...
Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi.
Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio...
Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana.
Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE"...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa...
Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR iliyotoka Dodoma saa 11:15 alfajiri kuelekea Dar es Salaam, wamekwama Stesheni ya Ngerengere kwa zaidi ya saa mbili huku ikitajwa kuna hitilafu imejitokeza...
Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki...
Kama Duniani tu Allah alimpendelea Mtume wetu na kumruhusu kuoa wanawake 10+ . Nina amini huko Peponi atakuwa anawazagamua sana wale Mahurumain wa Allah.
Quran 33:50
"Ewe Nabii! Tumekuhalalishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.