Wanaume ni tofauti sana yani kama kuna maamuzi yako,jambo lako tambua hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukubeba wala kukupa mwongozo.
Ila kwa mwanamke yani anapewa muongozo na maamuzi anakupa...
Kama heading inavyojieleza nashindwa kuingia huko TikTok hata nikiwasha VPN.. inaandika no connection
Lakini kwa VPN napata majukwaa yaliyokwisha pigwa ban kama JF na Xtwtitter.
Swali langu...
Kila ifikapo tarehe 31 Desemba, sherehe za Mwaka Mpya hufanyika sehemu mbalimbali duniani usiku kwa nyakati tofauti, kutokana na tofauti za saa kati ya nchi na nchi. Baadhi ya tamaduni pia...
Ila huyu mtu jamani sijui anaona maisha ni kifutio au penseli,yani unaweza kufanya lolote kama ufahamu lolote.
Ulipopata kijiti hakuna kilichofanyika umebagaza...
Trump ni mbaguzi,wametuwekea vikwazo vya kudhalilisha. Madhali kiusalama wa nchi hatuwezi kulipa kama wao ila tutumie uswahili wetu na fitna zetu kuwazuia Baadhi ya watalii wanaokuka kiholela...
Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa...
Nashukuru Mungu wa Mbinguni, kwa kutufanikisha kufika mwaka huu wa 2026. Ahsante.
Waheshimiwa kitu kinapokuwa adimu ndipo kinapokuwa na thamani na pia kinaondoa migogoro kwa kuwa ni adimu...
Husika na kichwa cha habari....hii ni kwa imani na matokeo ya tafiti endelevu yanayoendelea...msaada wa kesi ..msaada wa matibabu...msaada wa masuala ya kija mii n.k.
Msaada wa uwazi bila kuonana...
Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki.
Sasa kwa utawala...
Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa .
Hii yote ni...
Haijalishi una utajiri kiasi gani binafsi kama Mnigeria, sote kwa pamoja ni maskini. Maskini sana.
Hili unalielewa tu wakati wa dharura. Moto unazuka lakini hakuna huduma ya zimamoto. Ajali...
Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157
Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.
Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.
Je Mussa alijua...
Hizi semi zimekuwa kero mara dufu.
Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei.
Hapa kuna...
Usiwaone wana kifua kipana wamejazia full minyama.
Hawa jama nje na kunyanyua vyuma ni wavivu vibaya mno.
Mkute gym ananyanyua vyuma hadi kg200-300kg 🏋️♀️ lakini huyohuyo mpeleke kazi za...
Kwa nia njema ya kujumuika tena na wanangu wa sekondari. Safari hii ilikuwa kupitia WhatsApp group.
Halikuwa tofauti sana na magroup mengine, mambo yalikuwa ni yaleyale tu, kusaidiana kwenye...
Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere
Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere
Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere...
Kwa upande wangu nipo bar nakula bia baridi wakati nasubiri kitimoto kavu na ndizi za kutosha!
Bila kusahau nawaangalia wahudumu wenye makalio makubwa kama mlima kilimanjaro huku speaker...