Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly...
6 Reactions
124 Replies
16K Views
Salaam! Baada tu ya sintofahamu ya Oct 29, pametokea mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali Katika sekta mbalimbali, Leo nitaongelea sekta ya ujenzi. Bei ya kigae Cha size (40"*40") January...
3 Reactions
12 Replies
371 Views
Ugumu zoezi la urejeshaji wa nauli za SGR Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la urejeshaji wa nauli kwa abiria aliyeshindwa kusafiri Desemba 31, 2025 jioni na Januari 1- 2, 2025...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Kwa wale wanaofanya biashara ambazo zipo nje ya sheria ni ngumu sana kumpeleka mwenzake polisi au mahakamani kisa kamzulumu. Kwa uchafu wa CCM wa serikali ya Samia ni ngumu samia na wenzake wote...
4 Reactions
3 Replies
217 Views
Yani leo ITV habari inasema kule Arusha imesahidia watu majiko ya kuni alafu juzi walisema Samuya kasambaza mitungi ya gesi. Nilipenda sana kushinda nyumbani mapema ila bora niwe kwenye ofisi sio...
3 Reactions
8 Replies
273 Views
2026, Musk anakaribia dollar trillon 1 katika utajiri ila sisi tangu waganga wa mababu zetu umetufikisha wapi? Oh nilikuwa nimerogwa sijielewi akaniponesha, hivi wewe unaelewa afya ya akili...
13 Reactions
72 Replies
1K Views
Siku chache baada ya JamiiForums kuripoti juu ya Shule ya Msingi ya Mlembea Wilayani Rombo kuandikisha Wanafunzi Watatu pekee wa Darasa la Kwanza, baadhi ya Wananchi wamedai moja ya changamoto...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimecheka sana uvccm wanavijana hawawezi tamka petition wanataka petrol station? Sasa mkitaka Kuona vioja na mcheke mfe yule bint ni mdaiwa sugu wa mikopo ya asilimia kumi wilaya ya dovya;πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
5 Reactions
5 Replies
264 Views
Kuna wanangu wa Siloamu Lile kanisa hawaruhusu hata kutoa damu na wanakupa jina jipya Kuna mwanangu alikuwa anaitwa Alex alipojiunga akabadilishwa jina akaanza kuitwa KIBALI Ile dini...
1 Reactions
4 Replies
157 Views
Anonymous (f7df)
Kuna kero kubwa eneo la Kigamboni, Kata ya Kibada Uvumba limetekelezwa huku pembezoni mwa Bahari usawa wa kutazama Kijichi, linahifadhi vibaka na wavuta bangi pamoja na kuweka mapori manene...
3 Reactions
10 Replies
418 Views
Huko mitandaoni watu wameanza kuwatambua wapendwa wao kutoka katika kile kikundi cha wakatoliki 100 waliokuwa katika maandamano. Mtu wakwanza kabisa kutambuliwa ni Bi kidawa Salum ,mkazi wa...
15 Reactions
54 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha...
1 Reactions
3 Replies
167 Views
Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam mhashamu Thadeus Ruwa'ichi anasema "Mvivu ni kichaka cha shetani, Usikubali kuwa kichaka cha shetani, hebu uwe nyumba ya neema, nyumba ya baraka...
1 Reactions
1 Replies
310 Views
Marekani imetoa msaada wa maboza sita ya maji yanayojiendesha yenyewe ya lita 2400 kila moja, kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambayo yataipa uwezo wa kusukuma na kusambaza...
1 Reactions
6 Replies
210 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia...
4 Reactions
6 Replies
415 Views
Hivi karibuni serikali ya Rais Donald Trump ilitangaza orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanawekewa vizuizi vya kuingia Marekani. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani inasema orodha hiyo...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…