TAASISI YA TIBA YA MIFUPA NA UBONGO MUHIMBILI (MOI)
Mgonjwa (pichani) alipokelewa Desemba 17, 2025 akiwa amepata majeraha kichwani, hivyo amepoteza kumbukumbu. Hivi sasa afya yake imetengemaa...
Mpaka wakamuamini akaaamua asome biblia kinyume nyume.
Alieleta hii idea huko kijani nadhani atakua yupo kizuizini chini ya jenerali fweleboy mana mchongo umebuma vibaya mno.
Ni huzuni
Ila huyu...
Basi bana. Kama wiki kadhaa hivi iliingia meseji fupi lakini tamu ajabu. Ilikuwa imethibitishwa. Shilingi milioni sita (6,000,000) keshi zilikuwa zimeingia kwenye akaunti yangu ya benki. Nikasema...
Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k...
Ni ile list ya most wanted. Kuna bwana mmoja anazunguka huku na huko akiongea sana. Propaganda nyingi sana. Anahamisha sana magoli. Kila anakopita lazima achafue. Sasa Bro, kazi kwako Senior Colonel
Asilimia kubwa ya sisi Watumishi wa chini wa Afya wa Serikalini tuliopo katika Halmashauri ya Ilala tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua muda mrefu, tunaona bora kuiweka wazi ili mabosi wetu ngazi...
Nawasalimu kwa Jina Bwana Wetu Yesu Kristo .
Hiyo ni salamu kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania.
Nawauliza VIONGOZI WA KKKT hasa Malasusa na Serikali ndoa yenu imeanza lini ...
Penda sana ku note maongezi ya mtu mfano "guys guys guys".
Kuna kauli ukiziunganisha utapata mtu ana maanisha nini ?.
Mfano kauli zake:
"Msipo tuchagua tutaunda serikali yetu sisi CCM"
"wale...
Gen Z wanapiga sana shisha mnooo! kuliko kunywa hizo ngano, au tusema wanafanya maandamano kila sehemu:cool:
===========
Kizazi cha Gen Z kinabadilisha kwa njia ya kimya kimya moja ya sekta kubwa...
Kuna dokta mmoja kaja kunitembelea mtaalamu wa umeme wa mwili na uhai.
Kaniambia kitu ambacho sijaelewa yani binadamu kuwa na umeme mkubwa:
Ni kaona niende GPT kuthibitisha.
Umeme wa mwili”...
1. Usiwe Msomi Mpumbavu
2. Usitumike kama Condom
3. Usiwe na Kashfa ya Kufojifoji
4. Maongezi yako yawe ni ya facts
5. Usiwe mzushi na muongo
6. Usiwe Mbea na Mpashkuna
7. Usiwe kama...
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc mkoa wa Lindi Omary Kilumanga (Kushoto) na Afisa wa kampuni hiyo Feruzi Mlaponi (Kulia) wakikabidhi kapu la sikukuu kwa bi Anna Milanzi ikiwa ni muendelezo wa...
Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi...
Naona giza mbeleni na hali inatisha Sana Sana!
Dini inatumika kuisambaratisha Tanganyika😭😭😭
Hili igizo la RC lilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli ili kikao cha Zenji kiende...
Eze 34:2-3 SUV
[2] Mwanadamu, toa unabii juu ya wachungaji wa Israeli, toa unabii, uwaambie, naam, hao wachungaji, Bwana MUNGU asema hivi; Ole wao wachungaji wa Israeli, wanaojilisha wenyewe; je...