Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, inatarajia kuzindua rasmi Jukwaa la Vijana (Youth Platform) tarehe Januari 10, 2025, katika Ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.
Lyimo...
Habari jf
Nisiwachoshe sana
Mimi ni non-code Developer na hizi hapa ni App zangu zilizokamilika Chini ya 50%. Nilizotengeneza kutoka Loveble
Fanya kupitia Apps hizi na toa ushauri wako...
Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo
Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya ,
"Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila...
Habari wakuu,
Binafasi nafanya kazi masaa yasiyopungua 16 kwa siku, na nime jiajiri mwenyewe kwenye masuala ya mifumo ya kidigital.
Je, wewe mdau unafanya kazi masaa mangapi kwa siku ?
Sifa za "Black Sheep" (mwana kondoo mweusi) katika familia/kundi:
1. Hutofautiana na wengine – Ana mtazamo, tabia, au maisha yasiyoendana na ya familia/kundi.
2. Mwenye maamuzi huru – Hufuata...
Kuna uchafuzi wa Hewa (Air pollution), Uchafuzi wa maji (water pollution) halafu kuna uchafuzi wa kelel (Noise pollution)
Kukaa sehemu yenye kelele hasa karibu na Bar asu Club inayopiga muziki...
Tangazo muhimu.
Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako
Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii.
Safari hii...
Kila kona wizi,huko mwalimu Nyerere watoto wamepata 100% ya mkopo na ada wanalipiwa yote ila wameambiwa lazima walipe ada ya awali.
Wamefanya medical examination za uhakika huko walikotoka lakini...
Ukristo leo unakabiliwa na maswali makubwa ya kimaandishi, kikidoktrini, na kihistoria. Maswali haya hayawezi kujibiwa kwa kushambulia dini nyingine.
Yanahitaji uchunguzi wa ndani, si kuvuruga...
Kabla ya kuanza tuangalie nini maana ya Ignorant ni mtu anayekosa ujuzi, taarifa, uelewa au ufahamu kuhusu jambo fulani — hasa pale ambapo jambo hilo linatarajiwa kwa kawaida liwe linafhamika au...
Tujadili kwa weledi
Mazoea hujenga tabia. Huko nyuma hiki ndio kipindi cha amsha amsha.. Wagombea wa vyama wakiwa busy na harakati zao za kuchukua form. Ama kujaza ama michakato ya michujo ndani...
Kuna changamoto ambayo inazidi kukua katika hizi Shule za Sekondari kwa Watoto waliochaguliwa, unapotaka uhamisho kila shule wanakwambia wanahitaji Mtoto awe na wastani wa A.
Mfano mimi ninafanya...
Kwakuwa la ndugu zetu Wamasai tulishalisema sana lakini tukapuuzwa na kukejeliwa sana.. Ngoja sasa tuliache litutumke! Likifika pa kupasuka..TUSITAFUTANE!
Tahadhari ya taharuki kuu iliyopo mbele...
Hizi machine zipo mpaka vijiji ambavyo hujawai kudhania
Mashine zinameza sana coin, ni chipu ya computer imesetiwa kumeza karibia asilimia 70 ya pesa zinazoingizwa na kutema asilimia 30 tu...
Naaaaaaammmm! Wapenzi na wafuatiliaji wa simulizi za mtunzi wako hodari mahiri kutokea nchi ya mbogoland na sie mwingne ni Edgar Mbogo, baada ya ukimya wa muda mrefu sasa tumerejea tena na kigongo...