Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi nikiona jicho linacheza kuna 95% kitu kutokea Likicheza la kulia basi kuna kitu kinatokea kitanifulahisha na likicheza la kushoto jambo hilo halitonifurahisha, basi siku nzima roho juu...
2 Reactions
3 Replies
231 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) Shaban Omary Matwebe, ampangoza Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Paul Makonda kwa kuamua kupambana kwa...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
  • Redirect
Ticts’ 22-year era over as TPA ends contract Saturday, November 26, 2022 gati namba 8-11 ======== National Ticts’ 22-year era over as TPA ends contract Saturday, November 26, 2022
1 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani...
7 Reactions
17 Replies
510 Views
Je! Baada ya kuua maelfu ya Watanzania, Wauaji wanacheza karata ya udini kwa kuwatumia wapumbavu wanaojiita Waislamu? Je! Baada ya kutengeneza utawala wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua...
4 Reactions
4 Replies
349 Views
Kwanini unapoongea na mtu humwangalii machoni?
1 Reactions
2 Replies
130 Views
wakuu ningependa kutoa ushauri juu ya makampuni ya gas hapa nchini. Msikimbilie kuuza na kupata faida tu pasipo kumfikilia yule mtumiaji kama ana elimu ya kutosha ya kiusalama. Muwe mna kawaida...
4 Reactions
1 Replies
115 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linafanya uchunguzi wa tukio la kujinyonga kwa mtuhumiwa aitwaye Michael Lambau (18), mkazi wa mtaa wa Karikacha, Kata ya Rau Manispaa ya Moshi akiwa mahabusu...
0 Reactions
3 Replies
316 Views
Maana yake ni rahisi lakini yenye nguvu kubwa: Ukiweza kushinda huo uoga wako, utajirika (au utafanikiwa sana). Uoga ndiyo kizuizi kikubwa zaidi cha mafanikio kwa wengi. Ni uoga wa kushindwa...
2 Reactions
1 Replies
216 Views
Anonymous
Watumishi ajira mpya Mwaka 2025 Moro DC hatujalipwa hela za kujikimu mpaka leo (Januari 2026), tukiuliza Mkuu wetu anajibu “kama mna shida sana si mkope, sasa hivi mnakopesheka” Inavyoonekana...
0 Reactions
5 Replies
267 Views
Makala haya yanakualika—kwa upole, heshima, na kitaaluma—kuchunguza historia hiyo mwenyewe. Si kushambulia imani yako, bali kukusaidia kuielewa vyema. 1. Mshtuko wa Kwanza: Agano Jipya Haikuwa...
6 Reactions
55 Replies
819 Views
Anonymous
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba katika Hospitali ya Wilaya KIOMBOI kero yetu kubwa ni kutolipwa stahiki zetu katika kazi tunazozifanya. Tumefanya kazi katika mlipuko wa MPOX lakini...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Ukiangalia hii michezo ilianzishwa kwa lengo zuri sana ila imepoteza mvuto kutokana na hawa mafisa utamaduni wa Halmashauri za mikoa na wilaya pamoja na wakurugenzi wao kuichukulia pouwa na na...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu...
25 Reactions
47 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…