Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia.
Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia...
Nina kero inayohusu Halmashauri ya Jiji au Halmashauri ya Ilala, sisi Vibarua tunaosimamia Vyoo vya Halmashauri ya Jiji tunacheleweshewa mishahara mara kwa mara na hatuzingatiwi na Viongozi wa Juu...
Wafanyakazi Chombo cha Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) kiukweli tunapitia changamoto nyingi sana kwani tunafanya kazi nyingi usiku na mchana kuhakikisha huduma za maji zinakuwepo...
Siku ya ijumaa ni siku bora kwa muislam.
siku ya Ijumaa ni siku bora kuliko siku zote katika Uislamu.
Mtume Muhammad (ﷺ) amesema:
“Siku bora ambayo jua limechomoza ni siku ya Ijumaa.”
Sababu...
Salaam wakuu!!
Miaka ya tisini mwanzoni kuna mfanyabiashara mmoja ambaye pia alikuwa akifanya biashara ya dawa za kulevya alikamatwa yeye gari lake.
Gari lake hilo (tractor/kichwa) kilikaa muda...
Watu wenge duniani hawajui kiarabu
Tafsri si qur’an halisi
Upande wa Qur’an (Uislamu)
Qur’an inachukuliwa kuwa ni Qur’an halisi tu ikiwa ni Kiarabu
Tafsiri = “maelezo ya maana,” si Qur’an
Swala...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) jijini Dar es Salaam, Bishop Zachary Kakobe ni miongoni wa watu wenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, kutokana na huduma zake...
Baada ya Chief Odemba kumbananisha Zitto Kabwe na kuambiwa hadharani aping ushoga, kulingana na maadili ya Tanzania na Nchi nyingi za Afrika, watu walitegemea atapinga ushoga kwa kauli moja tu...
Kupitia AI,
Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu.
Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu...
Pepo la Umaskini
Pepo la mikosi
Pepo la kukosa ndoa
Pepo la kuzalia nyumbani
Pepo la ugumba
Pepo migogoro na mafarakano
Pepo la wizi, utapeli na udanganyifu
Pepo la madeni na mikopo isiyolipika...
Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini?
Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni...
Ogopeni kabisa huu mchezo ni hatari kwa afya na uzima wako na uhai wa gari pia. Kuna kitu cha kushangaza sana kwenye hili jambo! Vitu vya moto hasa vyenye mwendo havipatani kabisa na ngono, sijui...