Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangia Jana mfumo wa m wekeza haungiliki na Vodacom wameamua kukaa kimya maana yake wametapeli hili halitavumilika labda wafunge ofisi zao
3 Reactions
69 Replies
3K Views
Habari jamaa zangu, ipo hivi baba angu mzazi ana watoto watano(5) kati ya hao watano mimi nipo peke yangu kwa mama(marehemu) na hao wengine wanne mama yao ni mmoja. Huyo mama ameshatengana nae...
6 Reactions
29 Replies
742 Views
Wakuu Leo nataka tuweke pembeni hadithi za "Abunuwasi" na tutumie akili kidogo. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimegundua kuwa Uislamu haukuandikwa na Muumba wa Ulimwengu (Universe), bali...
7 Reactions
34 Replies
946 Views
NAPENDA KUWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU JINSI JWTZ INAVYOWEZA KUREJESHA NA KUIMARISHA IMANI YA JAMII KUPITIA MAUDHUI YA FILAMU NA TAMTHILIA (MOVIES/SERIES). Kwa kuzingatia nafasi kubwa ya sanaa...
3 Reactions
58 Replies
899 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Halmashauri ya Wilaya ya Chato imetoa mitumbwi miwili kwa ajili ya Kisiwa cha Iyozu ambayo itatumika zaidi katika kuwasafirisha Wanafunzi bure wakati wa kwenda Shule na kurejea nyumbani. Diwani...
0 Reactions
3 Replies
240 Views
Tukubali tukatae , tukiwa tumekufa pale tunapozikwa kaburini , maua yetu ndio tunaletewa kwa upendo kabisa kwa mara ya kwanza. 🫥.
1 Reactions
16 Replies
196 Views
Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend. Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi . Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu. Ok, tuseme...
1 Reactions
31 Replies
626 Views
Kwani kuna Mtu labda alimlazimisha aifanye ile Press Conference hadi akawa Mkali na Kufokafoka vile kama Kadata?
0 Reactions
7 Replies
211 Views
Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama...
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Mpuuzeni huyo mzee kaagizwa ; Hakuna lolote!
2 Reactions
12 Replies
328 Views
Anonymous
Mwenyekiti na mjumbe wa mtaa huo wamepewa taarifa lakini bado wamekuwa wakipuuzia sababu hawako jirani na eneo hilo. Ni hatari kwenye makazi ya binadamu, Serikali itusaidie kwa kumkemea awajibike...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 .............................................................,.. 👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka...
31 Reactions
99 Replies
3K Views
💯 Mnayelingana nae au kukuzidi hatua za kimaendeleo 💯Familia yake inalingana au kuizidi familia yenu mandeleo 💯Ambaye haujamzidi umri kuanzia miaka mitano 💯Anaeshi geto mwenyewe na hana kazi...
5 Reactions
16 Replies
496 Views
Dkt. Dorothi Gwajima ni mzuri sana kwenye mambo za ukatili wa kijinsia TU, akuchambeeeeeee weeee mpaka ukome, Akute ni dume halafu unamegwa walai utachambwa na yule mama mpaka ukome, Akute wewe ni...
2 Reactions
6 Replies
237 Views
Uandike Angani, Uandike Ardhini Uandike angani kwa wino wa nyota, uandike ardhini kwa damu ya miguu— maneno yatapaa, yatakanyaga, lakini mambo husimama pale pale. Piga kelele hadi sauti ichoke...
2 Reactions
2 Replies
142 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…