Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu, Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine
19 Reactions
96 Replies
2K Views
Huyu hapa ndo mume Mtarajiwa wa Muimbaji wa nyimbo za injili, Miriam Chirwa. Na hapa ni alivyo fika kwenye send off nyumbani Kwa akina Miriam. Ndoa ni furaha ndugu zangu si mnajionea wenyewe Kwa...
10 Reactions
65 Replies
2K Views
Hivi karibu katika ulimwengu wa kidijitali, imekuwa ni kawaida watu kuzungumza kama bile wamekatwa vichwa. Mitandao imekuwa ji mahali ambapo ukweli unapigwa kwa sababu ya kulinda hisia za mtu na...
2 Reactions
3 Replies
225 Views
Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya...
111 Reactions
438 Replies
26K Views
PROMINENT Congolese scholar and former University of Dar es Salaam History lecturer Prof Ernest Wamba dia Wamba has passed away in Bunia, Democratic Republic of Congo. Until Thursday morning...
18 Reactions
185 Replies
23K Views
Wakuu, Leo ni siku ya muandiko duniani. Kuna wale walimu wetu ambao walikuwaga wanatufundisha jinsi ya kuandika (kuunda maneno na kuumba herufi) Kwanza wanakuwaga wabibi fulani hivi na...
4 Reactions
41 Replies
619 Views
HAYA LAND HOV manyaunyau GENTAMYCINE popoma Binti wa zamani bibi kizee cha tulin min -me bwashee ELI COHEN myahudi Lucas Mwashambwa chawa Mshana Jr mtaalam Shusha nyingine😁
3 Reactions
17 Replies
282 Views
My people, NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu...
8 Reactions
71 Replies
900 Views
Habari za asubuhi Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama...
4 Reactions
45 Replies
859 Views
Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya...
7 Reactions
11 Replies
292 Views
Bandugu bapenzi nimekua nikifatilia makala zinazoandikwa na gazeti la Mwananchi kuhusu isue ya balali..lakin nilichokielewa mie ni kama wanapigia mstari tuu isue tulizowahi kuzisikia miaka...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
THX MANISPAA KWA KWELI ILIKUWA MWENDO WA UTI NA MENGINEYO VYOO VIMEANZA KUJENGWA NA UJENZI UNAENDA KWA KASI NAONA ZILE 300 ZETU BILA RESIT ZIMEANZA KUFANYA KAZII GODBLESS YOU ALL GODBLESS YOUNG...
3 Reactions
10 Replies
249 Views
Leo bana nimekapeleka katoto kangu kuanza shule hizi za FM Academia (Ya ada ya kawaida tu sio kama ya IST au FEZA), sasa basi nimekutana na kina Junior wa kutosha, yani vitoto vingi vya kiume...
24 Reactions
194 Replies
29K Views
Hello wadau, naombeni ushauri, mimi ni kijana wa umri wa miaka 33. Katika harakati za maisha niliotea bonge moja la mchongo wa kazi nzuri kutoka katika big 4 audit firms hapa bongo, kiukweli hii...
10 Reactions
87 Replies
2K Views
maswali.... 1-Miji mingi imekuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani tena katikati mjini. je wakati wa maandamano waliamia ktk makazi yapi mbali na mitaroni nk.? 2-kwa Mwanza na Dar es salaam...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mdada wa usafi sio haba Secretary balaa tupu Cashier homa ya jiji Mhasibu another trouble Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu
8 Reactions
40 Replies
982 Views
Naombeni ushauri wa engine oil original ya vitz engine 2sz sehem gani nzuri wanaweka original tusaidiane jamani kuokoa.magari yetu na vipanga Naombeni location au wapi wanaweka oil nzuri au wapi...
1 Reactions
0 Replies
124 Views
Je ni kweli Huwezi kupata mafanikio mkoa ambao umezaliwa kuna huo uhusiano wakuu?
3 Reactions
15 Replies
205 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…