Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jalala Mkuu waMashiaTz amesema "Ndugu zetu wa Sunni wanaamini kwamba Maswahaba Wote walikuwa Waadilifu lakini Sisi Mashia hatuaamini hilo kwa Sababu Sio Maswahaba wote wamekuwa waadilifu. "Sisi...
3 Reactions
21 Replies
468 Views
Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria...
2 Reactions
21 Replies
623 Views
Hili swali nimewahi kujiuliza na leo limeulizwa tena na lema pale X. Rushwa na ufisadi kule China ni kosa la jinai linaloweza kukupelekea kunyongwa. Lakini mchina yeye hutumia rushwa kama njia...
1 Reactions
6 Replies
124 Views
Huwa kuna sehemu maeneo ya Mnazi mmoja kuna kama chuo kidogo huwa naenda , darasa ni kwa saa moja Huwa mara chache naenda na gari, ila Kuna kitu hakipo sawa, yaani haiwezekani nipaki kwa saa...
1 Reactions
3 Replies
216 Views
Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi...
1 Reactions
0 Replies
242 Views
  • Redirect
https://x.com/i/status/2018740673470513646 Tanzania huu ujinga huwezi kufanyika hata siku moja.🫡
0 Reactions
– Replies
– Views
Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo? Ni mazingira...
0 Reactions
2 Replies
242 Views
Everything you experience in life—both internally and externally—is the result of how you have responded to a previous event. for example; Event: You are given a $400 bonus. Response: You spend...
12 Reactions
62 Replies
4K Views
Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa...
12 Reactions
51 Replies
903 Views
Sisi wananchi wa eneo la Kizimkazi wilaya ya Bagamoyo kata ya Mapinga mkoa wa Pwani kero yetu ni namna ambavyo kamanda wa polisi mkoa wa Pwani anapenda kutuingilia kwenye eneo ambalo sisi na...
1 Reactions
1 Replies
150 Views
Habari za jioni bw Aweso Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo. Kikawaida...
0 Reactions
2 Replies
336 Views
Money is an illusion kama kila siku hizi items 5 unazipata wewe ni tajiri usijipe stress.
9 Reactions
41 Replies
749 Views
Dakika 90 za January zimetimia sijaona thread za.masingle Maza humu Naona hii 2026 tutapumua tuzae tena tuchambwe 2025 masingle Maza humuu tuliteswa jamani .ilikuwa hata kupanua miguu tunaogopa...
22 Reactions
75 Replies
1K Views
Kuna pastor nimesikia leo amesema anakufa mwezi Februari. Ni pastor maarufu sana. Mbaya zaidi alimwambia mke wake mbele ya kanisa kwamba alimwambia Mungu tayari ameshaonyesha ni lini...
3 Reactions
40 Replies
727 Views
Habarini wapendwa za jioni Nimeona tukumbushane kidogo Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha Hawa watoto watatu Wote waliandika barua ..kwa wazazi...
1 Reactions
3 Replies
207 Views
Kuna akina Annabelle wengi sana kwa sasa tanzania. Kuna munch, glunch, kunch, brunch, dunch hawa wote wameunda kikundi chao kinaitwa annabelle. Hiyo code ya Annabelle inamaanisha makaka poa...
2 Reactions
4 Replies
250 Views
Ilikuwa 2023 hivi kama sitakosea, manabii 2 vijana kutoka Marekani Lovy Elias mwenye asili ya Kongo na Passion Java mwenye asili ya Zimbabwe walikuja Tanzania kwa huduma. Kwa muonekano wao...
1 Reactions
22 Replies
442 Views
Habari wanajamvi... Kwamuda wa mwaka na miezi kadhaa,nimekuwa nasumbuliwa na wezi kuiba kwenye sehemu ninapofanyia shughuli zangu za uzalishaji wa kipato cha kila leo. Ninafanya shuguhuli za...
4 Reactions
49 Replies
776 Views
leo hii wanaitisha maandamano nchi nzima kupinga wahamiaji haramu kuondolewa ... https://x.com/i/status/2018474418859806896
0 Reactions
3 Replies
219 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…