Nimewahi ku post makala kuwaponda TanRoads baada ya kuona wanajenga round about au keep left pale Mafiat badala ya kujenga Simple interchange ambayo itaondoa msongamano usio wa lazima.
Naona...
Maisha ya kwenye runinga ni gharama kubwa sana Kuna picha nzuri ya Teknolojia,majengo,Magari na hali safi ya mazingira Kuna picha ya uhuru wa vyama na Ibada.
Unadhifu huu unalinganishwa maendeleo...
Hii ni hali inayoonekana kwa mfano wazi kwenye majiji mfano Dar es Salaam, ambapo wenyeji wengi, licha ya kuwa wamezaliwa na kukulia hapa, bado wanakutana na changamoto kubwa katika kufikia...
Habari wana JF. Mtakumbuka mnamo mwaka 2025 karibu kbs na uchaguzi Sekretariet ya ajira ilitangaza nafasi nyingi za kada tofauti. Nafasi zile zilileta maneno sana wengi wakisema ni rushwa kwsbb...
Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani
Unadhani huwa ni...
Mstaafu kuhamamisha kupokelea pensheni yake toka Benki moja kwenda Benki nyingine inachukua mwezi mzima! Au zaidi, Acheni uzembe wa kiwango hicho.
Mamlaka, tumbua so called CEO wa ujinga huo!
Ugali wa dona ni mzuri kuzidi wa sembe lakini katika mazingira ya sasa, umejaa hatari nyingi kiafya, hatuna budi kubaki kwenye sembe kulinda afya zetu
Unga wa dona ni mahindi yaliosagwa na...
Kitu haramu hakuna njia ya kukifanya halali milele na milele kitu haramu ni haramu na halali ni halali ni giza na mwanga.
Lakini mpumbavu hajui neno hili
Habari za jioni wakuu na ndugu zangu JF.
Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha.
UTANGULIZI
Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi...
Watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi wamefariki dunia baada ya majibizano ya risasi na Kikosi Maalumu cha Kuzuia na Kupambana na Uhalifu cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu, kwa madai walikuwa...
Ilikuwa bia tamu yenye ujazo wa uhakika na kilevi cha kueleweka
Niliinywa kwa mara ya kwanza mwaka 1994 kwenye promotion iliyokuwa inaendeshwa na Prime time promotion pale Mwananyamala
Siku ya...
Kuna jamaa mmoja yeye alikuwa muwindaji, basi siku moja alivyotoka kwenye mawindo yake akawa amekuja kijiweni kupiga story na wenzake, jamaa akaanza kuwasimulia wenzake, aisee juzi katika...
Niwe mkweli sijawahi ona halmashauri wazembe, wala rushwa, wavivu kama halimashauri ya Msalala-Kahama.
Halmashauri hii imegeuka kuwa kilio kwa watumishi wa umma, ukiwa na shida husikilizwi...
Jana tulikua kwenye foleni Mwenge tupo na wife tumetoka Kinondoni tunaenda nyumbani Goba.
Tumefika pale Mwenge jamaa katoka huko alipo na mbwembwe zake anaona kuna foleni na taa hazijaruhusu kwa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto za...
INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia.
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Soko la Kariakoo, Dar es Salaam Februari 08, 2026 baada ya soko hilo kufanyiwa ukarabati.
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho kwa Samia kwenda kwenye soko...