Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hapo ni TAZARA ya Dar kero kubwa ni watu kutosafiri kwa wakati, Watu hufika Kituoni hapo wakiwa wanatokea sehemu mbalimbali wakifika hapo wanakuta tangazo la kubandika kuwa safari imeahirishwa...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya...
7 Reactions
260 Replies
3K Views
Hali ya taa za barabarani ambazo zimeungua kwa kiasi kikubwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huu. Tatizo hili limekuwa kubwa hasa kwa watembea kwa miguu wanaotumia barabara nyakati za usiku...
1 Reactions
1 Replies
114 Views
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano...
1 Reactions
5 Replies
248 Views
Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi...
0 Reactions
3 Replies
62 Views
Wakazi wa eneo la Itumbi, Mtaa wa Nghonghona jijini Dodoma, eneo ambalo lipo jirani na Hospitali ya Benjamin Mkapa. Tunaomba viongozi wa Serikali wafike katika eneo letu ili kusaidia kutatua...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Awali niliandika kuwa Barabara ya iliyopo Jiji la Mwanza, Wilaya ya Nyamagana, Kata ya Kishiri, eneo la Mtaa wa Mnazi Mmoja kuelekea Bukaga ni mbaya sana na inatakiwa maboresho tunashukuru Mungu...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Taa hizo za kuongezea magari na Watembea wa Miguu eneo la Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mbeya (Catholic University of Mbeya - CUoM) zina wiki sasa hazifanyi kazi licha ya kwamba bado ni mpya kwani...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Dodoma Jiji walitangaza kujenga barabara zilizopo katikati ya jiji mwezi mmoja uliopita (Juni 2026) wakachimbua barabara maeneo ya mjini ambapo kuna biashara zetu na ofisi wamezitelekeza bila...
2 Reactions
4 Replies
175 Views
Mimi ni mmoja wa vijana niliopata mafunzo kupitia VETA katika ngazi ya Level 2 na Level 3, kwenye fani kama Plumbing and Pipe Fittings, Electrical Installation (EEL) na fani nyingine. Tatizo kubwa...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Abiria wa ndege ya Precision Air iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kuelekea Nairobi wamekwama kwa zaidi ya saa 24 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya ndege hiyo...
1 Reactions
7 Replies
244 Views
Nimefika katika jengo la RITA kufuatilia cheti cha mdogo wangu baada ya kupita takribani miezi miwili tangu nilipotembelea mara ya mwisho. Napenda kutoa mrejesho kuhusu changamoto ambayo ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
81 Views
Wananchi tumeshindwa kupaza sauti ikasikika, Morogoro Wilaya ya Morogoro Mjini, Kata ya Mji Mkuu, Mtaa wa Bomaroad kuna bomba la maji safi limepasuka, lina miezi takribani 6 sasa linavuja tu...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Juzi, takribani siku tatu zilizopita, niliona andiko la mdau likielezea kero ambayo sisi abiria tumekuwa tukikumbana nayo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Kwa zaidi ya miezi mitano, huduma za...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Siku kadhaa zilizopita (Juni 23, 2026) niliandika kuhusu mazingira ya katika stendi ya mabasi madogo ya Makoroboi jijini Mwanza kuwa na uchafu mwingi. Nilieleza uchafu huo umekuwa ukitoa harufu...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Taa za Kuongozea magari zilizopo eneo la Biafra, Kinondoni zimeanza kufanya kazi baada ya kuwa na changamoto ya kutowaka, hali ambayo ilisababisha Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa hali hiyo ni...
1 Reactions
0 Replies
241 Views
Nikiwa mmoja wa Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha tunapongeza hatua ya kuanza kwa ukarabati wa Barabara ya Kibaha–Mpiji pamoja na Barabara ya Tankini–Muheza, kufuatia malalamiko...
1 Reactions
2 Replies
99 Views
Nimeona watu wakinusurika kugongwa na magari, huku pia madereva wakinusurika kupata ajali katika junction ya mataa ya Biafra, Kinondoni. Hali hii inatokana na taa za kuongozea magari kutofanya...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Mimi ni mkazi wa Mbagala na nafanya shughuli zangu katika Soko la Samaki Ferry. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia usafiri wa Mwendokasi kwenda na kurejea nyumbani. Kituo ninachoshukia ninapoenda...
1 Reactions
6 Replies
257 Views
Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno banana ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne mpaka Sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika...
1 Reactions
5 Replies
208 Views
Back
Top Bottom