Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

0 Reactions
3 Replies
2K Views
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwimbaji Qaswida maarufu hapa nchini, Abdulhamid Fannan ameandaa tamasha la kusaidia Yatima na wengine wenye uhitaji litakalofanyika Oktoba 5 mkoani Morogoro. Akizungumza na mwandishi wa habari...
1 Reactions
0 Replies
419 Views
Miriam Thomas Chirwa, anayejulikana kwa jina la "Mwinjilisti Miriam," alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998, akiwa na ulemavu wa macho Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 6, ambapo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Bonge la ngoma soon linakuja
0 Reactions
10 Replies
928 Views
Vipaji vimejaa Arabuni. Karibuni.
1 Reactions
1 Replies
221 Views
BEFORE I DIE SEHEMU YA KWANZA Ni Edson Benard pekee ambaye hakuungana na familia yao jioni hii ya katika mapokezi ya mdogo wake Innocent anayerejea nyumbani baada ya kuhitimu shahada ya kwanza...
22 Reactions
209 Replies
96K Views
Wakuu karibuni katika riwaya hii inayoitwa 'Kijijini kwa Bibi', au 'mnyonya damu', kama ambavyo wengine hupenda kuiita. Mtunzi wa riwaya hii ni yule yule wa 'Mkono wa Chuma' na 'Sala ya Sarah'...
22 Reactions
444 Replies
142K Views
Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Zee ni mwanamke maarufu anayeishi Paris ambaye huajiriwa mara kwa mara na Finn, raia wa Ireland anayefanya kazi kwa bwana wa uhalifu Jules Gobert, ili kuwaondoa wapinzani wa Gobert katika biashara...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Habari za wakati huu ndugu. Kwa wale wapenzi wa movie kali. Kuna dini hapa. "The Lair" ni filamu ya kutisha ya kijasusi iliyotolewa mwaka 2022 na kuongozwa na Neil Marshall. Hii hapa ni...
2 Reactions
1 Replies
885 Views
Episode 1: Introduction. Hii episode ya mwanzo itakua zaidi ni utangulizi (introduction) ya kujua watu na maana ya maneno yalivyotumika. Tutajitahidi ziwe ni posts fupi fupi ili isiwe tabu kwa...
11 Reactions
193 Replies
58K Views
Hello guys Ni wimbo wa old school, moja ya mashairi yake yanaimbwa hivi, "Tumeumbwa tupendane na tuishi kwa usawa, baba muumba...yatima ni binadamu anaehitaji kusaidiwa" Kwa kusikiliza sauti...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wakuu habari za muda huu, natumai mnaendelea vema na majukumu ya kujenga Taifa. Kama uzi unavyojieleza hapo juu, kuna wakati inatokea tuu kuna wimbo wowote ule uwe wa dini, qaswida, au nyimbo za...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanajukwaa naomba kuuliza ile kwaya ilioimba wimbo wa BWANA WAMABWANA ambayo ROSTAM wametumia sehemu ya wimbo huo kama kiitikio kwenye wimbo wa Kaka Tuchati, kwaya ile inaitwaje? Au msanii anaitwaje!?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Changes ya Tupac https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH Origina yake https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku 2. Forever Young ya Jay Z...
1 Reactions
1 Replies
464 Views
Nahisi 2pac is back, Sasa hii ndo pure hip hop na wakati inahitajika kama ukiipinga lazima ukapimwe akili,Sio Roma wa kibamia ama Dem uyu au dem uyu. Hii ni HIP HOP YA MWAKA
18 Reactions
79 Replies
16K Views
  • Poll Poll
Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya...
0 Reactions
8 Replies
937 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…