Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu, Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani! From the 80s,90s and the Early 2000s! Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na...
39 Reactions
793 Replies
245K Views
1. VACANCY. Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni. Wakiwa safarini, ndani ya gari...
36 Reactions
51 Replies
10K Views
Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti. Title: Sitaki demu Artist: Juma Nature (Verse 1) Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia...
1 Reactions
8 Replies
894 Views
Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi? Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
MSANII wa muziki wa singeli, Mohammed Rashid maarufu Mzee wa ‘Bwax’, mwishoni mwa wiki alifanya onyesho la aina yake katika Tamasha la chakula la Coca-Cola maarufu ‘Kitaa Food Fest’ Mbagala...
1 Reactions
0 Replies
318 Views
Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
NATAFUTA wimbo au teaser ya kipindi Cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi. Tufirahi shangazi tufirahi shangazi
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza. Kuna ngoma kali kuishinda hii? https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wana hilijukwaa Kuna wimbowa ki nigeria wenye lyrics baadhi zinazosema "... Just one more question...", naomba nifahamishwe unaitwaje I love the song Aasanteni sana
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Matt Damon Jonny Depp Brad Pitt Leonardo di Caprio Tom Cruise
0 Reactions
12 Replies
755 Views
1~3 kama mmeipenda naweza nikaimalizia vipande vilivyobaki [emoji116]
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama una bando tafuta hii kitu. Maproducer na Madirekta wa kizungu wanawaza vitu vya ajabu sana.
3 Reactions
15 Replies
934 Views
1. Special Ops:Lioness 2. The Little Drummer Girl 3. Alex Rider 4. The Enemy Within 5. Rabbit Hole 6. Pine Gap 7. Fleming:The Man Who Would Be Bond 8. Allegiance 9. Agent Carter 10. Treason 11...
1 Reactions
8 Replies
846 Views
Heshima kwenu wote. Kuna jambo nimeliona katika pita pita za mtandaoni kuhusu katuni ya Simpsons, kuhusu kutabiri matukio ya jayo katika episode zake. Jambo ambalo nimeliona wametabiri...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwema wakuu Aisee jana nilienda kuangalia movie mida ya usiku, nilikaa mbele ya mdada flani ivi ambaye mwanzoni nilidhani atakuwa mtaratibu tuu kwasababu alivofika alianza kusalimia watu wote wa...
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Nimepokea messages nyingi sana toka kwa wanaJF wengi kutaka kujua maoni yangu kuhusu suala la Diddy kwasababu mimi ni shabiki mkubwa wa muziki wa Hiphop na mtu mwenye akili mingi. Nilikuwa sitaki...
1 Reactions
6 Replies
727 Views
Kwa kilichotokea mbeya, Msanii wa WCB kwajina maarufu ZUCHU kuwanyooshea mashabiki kidole cha kati kisha kuanza kurushiwa mawe na chupa za maji na baadhi ya Mashabiki walioonesha kukerwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Child 44 2. Happy Death Day 2U 3. Venom:Let There be Carnage 4. The Collector 5. Righteous Kill 6. Child's Play 7. Luther:The Fallen Sun 8. The Girl with Dragon Tattoo 9. Summer of 84 10. Hot...
6 Reactions
15 Replies
771 Views
MSANII G - SOLO "Msanii wa Tanzania Gerald Mwanjoka ‘G-Solo’ aliyewahi kurekodi wimbo mmoja na msanii maarufu wa hip hop wa Marekani LL Cool J uliojulikana kwa jina la Hip Hop Is Everywhere...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
ZOTE ZA AKILI. "ZOTE ZA AKILI" ni project ama jina la Album iliyotoka Mwaka 2004, chini ya Usimamizi wa Akili the Brain ambae alikuwa ni mmliki , producer & msanii kutoka studio za " Akili...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…