Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
2 Reactions
0 Replies
238 Views
Mzuka wanajamvi Nipo hapa naandaa script ya movie bonge la movie ambayo itateka gumzo la kila mtu nchini. Jina la movie Muuza madafu encounter freedom. Ni hivi. Inaanza magaidi kutoka msumbiji...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
TOP 50 MILITARY & CIA Films 1. Bridge of Spies (2015) - 7.6 2. Mission: Impossible – Rogue Nation (2015) - 7.4 3. Sicario (2015) - 7.6 4. Spectre (2015) - 7.0 5. Eye in the Sky (2015) - 7.3 6...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Au hata link nipakue maana nimetafutia bila mafanikio
1 Reactions
1 Replies
364 Views
Au UFISADI ushaingia na huko maana kesho nona Games zangu za kutazama halafu sijui vipi maana DSTV nao michosho
0 Reactions
104 Replies
15K Views
Msaada tafadhali mp3 NB: beat na sio vocal
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Hizi ndio nyimbo 15 nilizozikubali zaidi mwaka huu 15. AYRA STARR COMMAS Country: Nigeria🇳🇬 https://youtu.be/EhyzYPSHRQU?si=cbdRnjb8o5DmTy8z .. .. 14. DIAMOND PLATNUMZ- HOLIDAY...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Burudani Mbeya imekuja na TUZO za burudani Mbeya kwenye nyanja ya MUZIKI, FILAMU, COMEDY, MODEL, VIXEN, MPIRA na HABARI kupitia platform zake za blog, YouTube channel na Instagram. Kwa maelekezo...
1 Reactions
0 Replies
315 Views
MAISHA YA WASANII NJE YA SANAA Unaweza kusema sanaa bila ubunifu ni sawa sifuri, maisha ya usanii yanahitaji bunifu zenye athari chanya kwa jamii kwa lengo la kuendelea kukuza majina na kazi zao...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Verse 1 Ni safari ndefu, Ya mwanadamu, Kimaisha na mapenzi, Ni mke au Mume, Mara moja kubahatika. Maishani mwako, Kumpata mtu fulani, Ambaye huwa ni Maalum kwako, Kipenzi cha moyo wako. Kwa...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Weekend [Intro] Weekend Na East Zoo y'all Chemba Squad y'all Bongo Records, yo C'mon [Chorus] Kama weekend Ndio tayari ishafika Watu viwanjani wanamiminika Tufurahi kwa pamoja wakati huu Na kwa...
1 Reactions
4 Replies
445 Views
Kulikuwa na binti mmoja aliyeitwa Amani. Alizaliwa katika familia ya kawaida kijijini Manyala, familia ambayo licha ya juhudi zao, hawakuwahi kuwa na uhakika wa mlo wa siku. Baba yake alikuwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
UKWELI HIPHOP IMEKUFA? Najiuliza NA kujipa majibu mepesi japo swali ni gumu sana! MONI CENTROZONE Anasema "HIPHOP is DEAD" lakini sijaona vijana wa new school kama wanamjibu au tuseme wako...
2 Reactions
7 Replies
715 Views
AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA Verse ..1 ( afande sele) Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani naombeni mnijuze man anayemla uroda msanii vanesa mdee mana ni mzuri sanaaa
1 Reactions
9 Replies
5K Views
WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga HIVI NI TAMTHILIA ZA...
1 Reactions
3 Replies
503 Views
Kwa wale wapenzi wa series za Snipping kati ya Jackal ambaye anapatikana kwenye series inaitwa The Day of the Jackal 2024 na Bob Lee Swagger aliyecheza series inaitwa Shooter 2016s. Je wewe unaona...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
KWANINI "KASONGO" ILITUNGWA. Jina lake halisi aliitwa Kasongo wa Kanema, aliyekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Congo ambaye alihamia Nairobi na kufariki huko miaka minne iliyopita (Aprili 15, 2020) na...
10 Reactions
9 Replies
2K Views
Ambush In The Night"....Ishapita miaka 45 toka wimbo huu upigwe na kurekodiwa,,,lakini maneno haya bado yanaishi,,,tena kwa hili wimbi la upepo wa kisiasa kwa sasa,,,utamalizia mwenyewe...
2 Reactions
0 Replies
470 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…