Jide aliamua kutoa wosia wake leo kupitia blog yake, uusome hapa:
Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
Besides making impeccable music, Diamond is fast becoming the Tanzanian king of controversy. Despite initial rumors that Diamond had rented a Toyota Land Cruiser V8 (which is believed to be among...
Najribu kuimba kidogo atakaeutambua wimbo huuunaitwaje na msanii wake anisaidie niutafute
Baadhi ya Verse zake ni "Nilikuwa na mpenzi angu, tulipendana sana jamani, alibahatika kwenda ng'ambo...
Habari wana JF jamani me nimpenzi sana wa nyimbo za kihindi na tatizo ni kwamba sijui web gani naweza kudownload please jamani kama kuna mdau anajua anisaidie kwa hili.
asante
kwanini hawa mabingwa wa burudani hawana kipindi cha rock? ukizingatia rock unaweza kuwa mziki unaoongoza kwa kupendwa duniani. ukiangalia mauzo na grammy awards huu mziki unaongoza. najua...
Nimejaribu kuzitafuta cartoon zinazorushwa TBC 1 siku za Jumamosi sijazipata kwenye maduka ya Kariakoo yanayouza movies ili ninunue. Cartoon hizo kwa maoni yangu nafikiri zinafaa sana kwa...
mbona tamthia nyingi za nje kwetu zinachelewa kuja. Mf: ni tamthilia ya ki Mexico inayorushwa na kituo cha ITV, LA FUERZA DEL DESTINY (the power of Destiny) ilitoka mwaka 2011 ila si tunaicheck...
A father in a small village in Vietnam has been transporting his children to school by swimming them across a river in plastic bags.
A father swims across a flooded river with his children in...
A Nun Stuns Judges By Singing Alicia Keys Song No One March 22, 2014
I am still in disbelief in regard to how a spiritually ordained nun can end up knowing...
Habari bandugu,
Namtafuta huyu mwimbaji wa taarabu wa kundi la jahazi kaimba mwimbo maarufu wa "mtaniona hivi hivi" maruperupe.
Mwenye kumfahamu anijulishe.
Ahsanteni.
Wakuu vipi tena,mimi ni mpenzi mkubwa sana wa michezo hasa mpira wa miguu nimekuwa mdau mzuri kwenye upande huu hasa mpira wa miguu hususa ni upande wa kimataifa na kitaifa nina mengi sana ya...
ni wimbo mzuri wenye mdundo mzuri na ujumbe unaotia. simanzi lakini uliokosa uhalisia na unaitwa ni wimbo wa dini lakini kimsingi asilimia tisini haujakaa kidini bali ni hadithi ya maisha...