Tanzanian Bongo Flava superstar Diamond Platnumz has fans buzzing with anticipation following the announcement of a remix for his hit song "Holiday," featuring American rapper Rick Ross. The...
Au ni sababu ya ujuaji wake harafu kaja kufa Nyumbani kwa Mweshimiwa kizembe vile au season 2 anaweza kurudi waseme hakufa,
Wadau wa series jina na cover ni hilo hapo 👇 series nzuri sana
Baada ya Mmiliki wa EFM Radio Majizo Kufanya Kufuru ya Kumyakua Mtangazaji Masanja Mkandamizaji aliyekuwa na Kipindi maarufu cha kila Jumapili Wasafi FM nae Mmiliki wa Wasafi FM Diamond Platnumz...
SIMULIZI:THE REVENGE OF DERICK
MTUNZI:WIZZY JOOH
FACEBOOK:STORY ZA JAY
SEHEMU YA PILI(2)
ILIPOISHIA
Mpambano ukaanza huku Derrick akionyesha uwezo mkubwa sana wa kupambana japokuwa Inspector...
Pretta is pretty crazy, mzuri sana kwa sura lakini IQ yake ni ndogo sana. Huyu na Appollo wote akili zao zimefanana. Jana kamfanyiam kitu kiaya sana Philip, something rarely forgivable!
Mimi...
PROFESSOR JAY FT. ADILI CHAPA KAZI , COMPLEX, AY & BLACK RHINO - NAWAKILISHA ( STUDIO BONGO RECORD)
Chorus ( Professor Jay)
Nawakilisha...!!!
Ofisini na masela ndani ya gheto
Nawakilisha ...
Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida.
Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani...
Jana zimevuja picha za mwaka 1986,
Za Jengo moja lililopo eneo moja liitwalo "No man land" huko South Korea..
Picha hizo zinaonekana kwenda kukanusha yale aliyoyasema mwandishi story ya Squid...
WATU PORI - NAFSI YA MTU.
Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/
Verse ..1 ( mc koba)
Sikiliza haya ninayo...
Ni filamu inayosimulia kisa cha msafiri anayejaribu kumshawishi kimafia afisa mmoja wa usalama kitengo cha Transportation Security Administration(TSA) ili akubali kupitisha kifurushi flani hatari...
MSANII RICHARD MANGOUSTINO ENZI ZA UBORA WAKE KUPITIA TUNGO NA USHAIRI WAKE .
wachache sana wanaomjua msanii huyu aliyefahamika kwa jina lake Richard Mangoustino .
Enzi hizo msanii huyu Richard...
Asalaaam wanajamvini.
Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii.
Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote...
FEMALE RAPPER SISTER P ALBUM..MAREKEBISHO.
SISTER P .
Kasi tulikuwa nayo sisi enzi zile, sasa hivi hakuna anayekuja kwa kasi, huyu (Chemical) anajitahidi kasi sio mchezo bado mapengo yetu yapo...