MATRIX SIO TU FILAMU, NI UTANGULIZI WA UJUMBE WA KISIRI
"Ulimwengu tunaouona ni udanganyifu tu, gereza la kiakili linalotuzuia kugundua uwezo wetu wa kweli."
Filamu hii ni kioo cha ubinadamu...
Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life)
Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye...
Black Star 01
Mtunzi: Tariq H Haji
Mawasiliano: 0624065911
Watu waliendelea kushangilia kwa nguvu baada vishindo kadhaa kusikika. "Mshkaji hajui kupiga kidogo, anabutuwa kisawasawa" alisikika mtu...
hivi karibuni nimetokea kuupenda sana huu music. ningependa kuujua zaidi kutoka kwa wapenzi wa hizi ngoma za kina Calvin Harris, David Guetta, Tiesto, Dash Berlin etc.
ni dj gani unamkubali zaidi...
Habari ndugu zangu wapenda muziki wa dansi!
Ninatafuta wimbo wa zamani wa bendi ya dansi, uliosikika sana miaka ya 2002/2003 kwenye redio. Sikumbuki jina la wimbo wala bendi, lakini mashairi yake...
Huuu wimbo wa miaka mingi sana. miaka ile ya 90 ilikuwa maarufu sana
"Sunday eeeeh....pole sana sunday eeeeh......."
Kuna sehemu wanaimba wana sema alivaa viatu huyo mdada vinalia kooh kooh...
Kitabu hiki kinapatikana BURE ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore.
Somo la kwanza
Kisa cha Vimbwenelehi
Nilipokuwa bado mdogo nilipata kusikia habari za vijitu vya kutisha, vyenye...
Na: Mwalimu Makoba
Tazama nikamuita mwanangu mpendwa, naye nikamtuma aende mjini akalete vitumbua ili tupate kushtua matumbo. Nilimwelekeza aende kwa Mama Abdul, mama muungwana, mtenda haki na...
Nilikuwa kwenye daladala jioni moja kutoka kwenye pirika zangu mara ndani ya gari Kuna wimbo ukawa unapigwa nakumbuka kiitikio tu " Wivu mama" ulinivutia sana ule wimbo hasa sauti ya mwimbaji na...
Mwimbaji hodari kutoka nchini Kenya Bien-Aime Baraza amesema, Wasanii wa Tanzania wangeweka nguvu na bidii kwenye muziki wa Singeli kama ambavyo waliweka bidii kwenye Amapiano, basi muziki wa...
Filamu ya katuni (uhuishaji) ya Kichina "Nezha 2", ambayo ni muendelezo wa "Nezha 1: Kuzaliwa kwa Mtoto wa Shetani" hivi karibuni imefuatiliwa sana kote duniani. Baada ya kuingia kwenye nafasi ya...
Nipo nafwatilia all stars comedy ni mbaya mpaka sasa hakuna cha maana ni wanalia watu pesa zao comedy hawana new things or thoughts 💭 ambazo zina washawishi watu wanaanza kuleta mambo ya mitano...
https://youtu.be/e2PsmMlSP5s?si=9kcGRMlCdNEIXk6A
Asantee sana kwa kutupa album kalii ya hurry up tomorrow hapa tunasubiria movie yetu sasa ya hurry up tomorrow happy birthday Ethiopia finest...