Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya...
24 Reactions
152 Replies
7K Views
Dc ilianza mwaka 1930 na marafiki wawili harry donenfield na jack Leibowitz ,dc ilikuwa ni magazine inayachapicha habari za kijamii na pornografia hii ikapelekea baadhi ya watu ktk kampuni...
1 Reactions
0 Replies
280 Views
Napenda kuwatakia maandalizi mema ya Sabato. Sabato ikawe njema kwenu nyote. Sabato yako ikawe njema kupitia uinjilishaji huu kupitia nyimbo Uzi huu utahusisha nyimbo za SDA pekee, karibuni...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Mara ya mwisho ku peak ilikua 2011, taarab ilikua juu sana. Ila baada ya pale naona imepotea, nina miaka mingi sijasikia hit song ya taarab. Whyyyy, hizi amapuano sijui singeli sijawai zielewa...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Karibu kwenye mzigo huu mpya kabisa, By CK Allan 0746 266 267 Viumbe hatari... Dangerous creatures 1 Mwaka 2030 Sauti ya televisheni ilisikika, nilikodoa macho kwa utulivu mkubwa nikiwa...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
MOVIE KALI SANAA WANAJESHI WA MAREKANI WALIOMBA POOH 😂😂🔥🔥 Wamarekani walimuomba dokta atengeneze dawa ambayo itawafanya wanajeshi kwenye uwanja wa mapambano wasiweze kuonekana lakini mwisho wa...
1 Reactions
2 Replies
505 Views
Na D. Kingdon. HADITHI YA WAKURYA WA TANGANYIKA WAKATI ule mvua ilikwishaanza; lakini majani yalikuwa yangali makavu, ingawa sehemu zingine zilikuwa na majani mabichi. Vivuli vya mawingu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Who's your best cast for the character of ZEUS in the next God of War Series. 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10.
1 Reactions
4 Replies
418 Views
1 Reactions
25 Replies
670 Views
Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Starehe - Ferooz & Prof J “Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalay**a , vipimo vinaonyesha ni kweli umeathirika, I am very sorry kupoteza nguvu ya Taifa”...
10 Reactions
77 Replies
2K Views
HADITHI FUPI - S01E01 "KANGA" - [Rudisha Kwa Mhusika] Mtunzi. Xavery Luoga (Mkandarasi) Na. +255672493994 ___________________ Atuganile Chamse, mrembo aliyeshindana na mumewe kwa muda mrefu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
MOVIE KALI YA KUTISHA 🔥🔥 Mtoto wa AJABU movie Kali ya kutisha Sio kila mtoto wa kuishi naye wengine ni majini wazazi walijuta kwanini walimuokota huyu mtoto 🔥🔥🔥 Hii movie usipokimbia basi wewe...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
A very happy Birthday Steven Seagal 🎉 What's your favorite film he's starred in?
1 Reactions
3 Replies
434 Views
1. Lokombe Ntal (mwimbaji) - Ufaransa 2. Makosso Kindudi (gitaa la rhythm) - Ufaransa 3. Flavien Makabi (gitaa la besi) - Ufaransa 4. Sam Mangwana - Angola 5. Kakoma Nado (ngoma) - Paris, Ufaransa...
2 Reactions
8 Replies
648 Views
Hi Mimi binafsi huyu jamaa sikubaligi hata kidogo kwanza ana mdomo mchafu hana lugha mzuri mbele za watu hata kwa familia yake ilo lipo wazi Chaajabu yanga wanaendelea kumbeba kwanini...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Huyu jamaa kagundua uyoga unaoweza kutibu magonjwa yote. Kuna watu wanautaka na kuna wengine wanataka kuzuia usiwaharibie biashara.
2 Reactions
1 Replies
374 Views
Leo nimewatoa madogo kwenda kuangalia movie waliokuwa wanaisubiria kwa hamu sana ya Minecraft Aisee, sikujua kumbe leo ndio ilikuwa onyesho la kwanza nchi nzima Huo Mzuka nilioukuta humo ndani...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
By SHANWA, 1967. SURA YA KWANZA MGENI ANATOKEA TEGU, mwana wa Goja, alisimama kwenye ardhi iliyoinuka ambayo iliyatenga mabonde ya Ugweno na Usangi, mahali alipozaliwa. Ingawa alikuwa mvulana...
3 Reactions
3 Replies
845 Views
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…