Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika...
0 Reactions
11 Replies
577 Views
Nimekaa natafakari wasanii na muziki wetu huu wa Bongofleva ya sasa na ule wa zamani (old school). Kiukweli nimegundua kuwa wasanii wa sikuhizi sio wabunifu ingawa utandawazi na teknolojia...
10 Reactions
96 Replies
11K Views
WARAKA MAALUM KWA PRODYUZA DONCHA. NILIJIIMARISHA KIMUZIKI NA UIMBAJI ULIO BORA KWA KUTUMIA BEAT YA AINA YOYOTE ILE MWAKA2014 KWA PRODYUZA "DONCHA" WA MWANZA.(DJ. DON NALIMISON) Producer DONCHA...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Itoshe kusema hawa jamaa ni makatili sana, uuaji na ukatili unaofanyika mule ni ngumu kuufikiria tu kwa imagination unless uwe umewahi kuuona live kwenye uhalisia au umewahi kuwa muhanga wa vita...
1 Reactions
3 Replies
640 Views
Nauhitaji wa nyimbo za huyu mdau R.I.P geezy mwana madharau.. mwenye ngoma zake naomba anisaidie hapa ✌️✌️🤝🤝
1 Reactions
4 Replies
421 Views
Movie yoyote ambayo itanifundisha au itabadirisha mindset yangu hasa katika kupambana na umaskini. Asante Jina tu la movie linatosha
1 Reactions
6 Replies
487 Views
Mwanzoni mwa miaka ya sabini kulikuwa na Bendi inaitwa Jamhuri Jazz pale Tanga ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa sana na Atomic Jazz. Bendi hiyo ilianzishwa na ndugu wawili: William Kinyonga, na...
0 Reactions
3 Replies
499 Views
Bonta Maarifa ni Katibu wa Afya Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Makazi yake ni Kahama Mjini maeneo ya Igomero (Masaki). Lakini pia ni member wa Crew ya Weusi kampuni ...
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Salamu kwenu wabamuziki na wamiliki wa bendi za muziki wa dansi. Kwanza niwape hongera kwa kazi nzuri ya kuburudisha, kuelimisha na kuhabarisha jamii. Pamoja na kuwa mlifanya kazi nzuri sana...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
HARD BLASTERS CREW FT. LB GENIUS ( TUKO NYUMA) Chorus. Tuko nyuma kimaendeleo Sababu ya Rushwa , ubadhilifu na upendeleo Tuko nyuma Tuko nyuma Tu na kichocheo Mambo ni ovyo hatuna Dira wala...
0 Reactions
2 Replies
377 Views
Ilikua siku mwanana wanafunzi walikua ukingoni kumaliza somo lao la siku hio ndio mwalimu akawagusia wanafunzi wake namna ya kumuona jini akiwa katika umbile la binaadam, inafahamika kwamba majini...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
UCHAMBUZI WA FILAMU 📽🎬 THE DA VINCI CODE (2006) -----‐----------------------------- Kwa desturi tunapotazama filamu yoyote ile, tunalenga kuziburudisha nafsi zetu. Sio kazi rahisi mtu akae chini...
3 Reactions
0 Replies
493 Views
DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA...
4 Reactions
24 Replies
9K Views
📌 Burudani bila kulipia? Ndiyo, inawezekana! Kwa mashabiki wa movies na series — kama wewe ni mpenda burudani lakini huwezi (au hutaki) kulipia Netflix, Showmax n.k., basi uzi huu ni kwa ajili...
8 Reactions
3 Replies
3K Views
CRAZY BUFFA FT ZAHARANI.. - MUELIMISHAJI.. Masela wote...!! kaeni chocho...!! Madawa ya kulevya haina ya faida kwako.. ebu sikiliza Eeeh.. huyu ni muelimishaji Eeeh Eeh..!!! Verse ..1. ( crazy...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu, kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma 🔥🔥🔥 https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Habari za Jumatatu Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…