Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kama unapenda kisasi basi hii itakufaa imetoka mwaka huu ni Kali sana mtu wangu Hii nayo imetoka mwaka huu siku ya wapendao inaenda kuharibika je unataka kujua Nini kilitokea icheki mtu wangu...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili...
4 Reactions
9 Replies
813 Views
Kanisani. Kanisani{ Kurasini SDA Youth Choir }
2 Reactions
6 Replies
334 Views
HII NDO ARDHI AMBAYO HAIJAWAI KUGUSWA NA MWANGA WA JUA (NURU) TANGU KUUMBWA KWA DUNIA. Dunia ina maajabu mengi sana . Sasa hili la leo ni la mwaka 1960 maisha ya giza UZI👇🏼 Katika historia ya...
1 Reactions
0 Replies
293 Views
Habari za muda huu kwa wanajamiiForums, ninasikiliza wimbo wa Cosmas Chidumule unaofahamika kwa jina la "Libarikiwe Neno Hili" Muimbaji Cosmas Chidumule...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
These are the possibility of actors to be casted (don't take it seriously 😃) Tom Cruise John Depp Samuel Jackson Morgan Freeman The Rock Arnold Schwarzenegger Rambo The Taker...
0 Reactions
2 Replies
315 Views
Anaitwa Guy Ritchie amezaliwa Uingereza septemba 10 1968 kazi yake ni mwandishi na muongozaji wa filam ameandaa muvi nyingi kali kama Operation Fortune, The Gentleman ilishinda tuzo ya muvi bora...
3 Reactions
6 Replies
673 Views
Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake. Stori...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
▪️ Genre: Action, Drama, Thriller ▪️ Date: 15 Jan 2016 ▪️ Rate: 7.3/10 IMDb ▪️ Time: 2h 24m ▪️ Director: Michael Bay ▪️ Main characters: John Krasinski kama Jack Silva James Badge Dale kama...
2 Reactions
2 Replies
512 Views
Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu, Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kutupa uwahi hadi siku ya leo. Ivo basi ningependa kushare idea zangu za mchezo unaoitwa ROULLETE. ROULLETE/WHEEL OF FORTUNE ni mchezo unaopatikana katika...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
My list - Snowfall - Alton alikuwa teja lakini familia yake ikamkubali upya, matokeo yake akaanza kusnitch, huyu mzee hana shukrani na kasababisha anguko kubwa sana la Franklin - Prison Break...
1 Reactions
1 Replies
266 Views
UTATU WA G RECORDS DJ Gulu Ramadhan Nnanji " G LOVER" alifungua studio yake, G RECORDS na kumpatia mikoba yote ya production, Roy Bukuku. Kazi nyingi zilipikwa pale huku utambulisho wa kazi...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Simulizi : MTAMBO WA MAUTI Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Sehemu ya 1 W 1 X HILI lilianza kama tamthiliya, tena tamthiliya yenyewe nyepesi tu, ya mapenzi. Kama...
5 Reactions
85 Replies
18K Views
Wapendwa Wapwa zangu hii movie nimeikumbuka sana sana naombeni mnisaidie naweza kuipata wapi kwa hapa Dar kwenye CD nikainunue au mwenye nayo anikodishe...imenikumbusha mambo fulani very binafsi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Simulizi : TUTARUDI NA ROHO ZETU? Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 KAMA maji ya bahari ya hindi yangekuwa na hisia, basi yangejisiskia fahari sana kwa kupata...
8 Reactions
137 Replies
32K Views
Simulizi : KIGUU NA NJIA Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 likuwa mara yangu ya kwanza kumuona baba akitokwa na machozi. Kwa kweli, ilikuwa mara yangu ya...
4 Reactions
245 Replies
52K Views
Wanaukumbi. Filamu ya hali halisi iliyoshinda tuzo ya Oscar 'No Other Land' ni ushirikiano kati ya watengenezaji filamu wa Palestina na Israel na inafuata juhudi za Wapalestina za kuzuia...
0 Reactions
2 Replies
322 Views
I can pay any amount of money to back to the 90s and early 2000s.
5 Reactions
8 Replies
535 Views
https://fntaz.com/drake-ataweza-kufanya-kwenye-kombe-la-dunia-alichokifaya-kendrick-lamar-superbowl/
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…