Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Story na Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa Rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA...
10 Reactions
348 Replies
85K Views
Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema ."walimwita mwanajua maana alijua yvote,, hakwenda shule...
3 Reactions
9 Replies
987 Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
RIWAYA; MTUHUMIWA MTUNZI; HUSSEIN TUWA SEHEMU YA KWANZA. Daily News, Julai 12 (Imetafsiriwa): Jambazi hatari linalojishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya huko Marekani ya Kusini...
7 Reactions
269 Replies
85K Views
Kuna mkasa hapa niliwapa ambao age ikishafika ndio basi katika mahusiano. Katika nyimbo zangu pendwa hii nyimbo nilitumiwa kipindi kabla sijajua umuhimu wake kipindi hiko kama salamu za barua...
5 Reactions
9 Replies
466 Views
Natumai mpo vyema wakuu Nimeona nianzishe uzi maalumu wa kutupia dialogues, nukuu, misemo, n.k uliyo ikubali kutoka kwenye series au movie yoyote "Arya would rather act like a beast than a lady"...
10 Reactions
214 Replies
12K Views
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kurudi nyuma mpaka miaka ya 90, tulikuwa na kizazi cha kipekee ya burudani, wazee wa Disco Vumbi. Watoto mwisho saa 12 jioni kisha saa 1 usiku mpaka majogoo ni mwendo wa...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Sehemu ya 1. Naitwa Rojaz na nimezaliwa kwa wazazi ambao baba na mama matamanio yao ni kuona watoto wao tunasoma kwa bidii ili kuweza kufikia malengo yetu na ndoto ambazo wao kama wazazi...
47 Reactions
613 Replies
110K Views
Hapo zamani za kale palikuwa na Mfalme ambaye hakujali kitu chochote katika mamlaka yake isipokuwa mavazi yake, aonekane amependeza. Mfalme huyu hakufanya kazi wala hakupatiliza majukumu yake...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Redirect
29 Disemba, 2025 Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali vyote vya kufanya kazi za Sanaa na kutoa vibali kwa makampuni, wadau...
6 Reactions
Replies
Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ)...
2 Reactions
37 Replies
916 Views
Kuna series moja nzuri sana ambayo sasa ndio inashika vichwa vya habari duniani kote na hii series inaitwa Tom Clancy's Jack Ryan. Mfululizo wa Tom Clancy’s Jack Ryan unamuhusu mwamba mmoja wa...
2 Reactions
8 Replies
573 Views
Wapenzi wa kuangalia action movies na Blockbuster movies karibuni tuweke maoni yetu. Tuambie nani unamkubali sana uingizaji wake au uhusika wake kwenye movie zilizo fanya vizuri sana. Hapo chini...
2 Reactions
24 Replies
499 Views
NINI SIRI YA NAFSI ZILIZO TELEKEZWA? Inahusu nini, inamhusu nani, kipi kipo nyuma yake? Ungana nami kwenye mtiririko huu uweze kuelewa NAFSI ZILIZO TELEKEZWA inahusu nini. Mwaka 1991, ni mwaka...
6 Reactions
253 Replies
63K Views
Lyrics Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku, alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser, wamejaa hangover utazani jana yake...
3 Reactions
7 Replies
997 Views
UPEPO WA USIKU-1 BONIFACE BIRAGE Upepo upima mti nguvu na kuuona uhodari wake katika kujishikilia udongoni kwa kuimrisha mizizi iliyojikita.Ndiyo falsafa ya maisha na mikumbo yake hujikita katika...
2 Reactions
66 Replies
27K Views
Netflix ni propaganda ya mlengwa wa kushoto wa kuigeuza dunia katika suicidal empathy juu ya upinde, kama uongo kagua shows mule ndio utaamini
6 Reactions
17 Replies
362 Views
Uenda maendeleo ya teknolojia, uwingi wa Smartphones, Online media, Podcasts kwa namna moja ama nyingine kumeathiri Programms nyingi za Main Streams kwa kiasi kubwa, kuna idadi kubwa ya watu...
1 Reactions
15 Replies
484 Views
Baada ya miaka 44 ya kuiburudisha dunia, hatimae MTV imesalimu amri mbele ya YouTube na TikTok. Soma zaidi... https://www.instagram.com/p/DS-AHXHFF22/?igsh=a29rb2JwZHJqbHZ3
3 Reactions
3 Replies
205 Views
"Leo" by Harmonize featuring Mbosso, produced by Mafia, is a heartfelt Bongo Flava love anthem that captures the raw honesty of falling deeply for someone at the most unexpected time. Harmonize...
3 Reactions
32 Replies
733 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…