Kiutani utani nilisikia wimbo wa kwenye vibanda vya muziki nikiwa napita, mdundo wake ulinivuta nikazama SHAZAM kujua ni msanii gani kahusika.
Duh mkali wa singeli Misso Missonda naona kapita na...
Ni kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi mnifananishe na kobe au kasa wale si wamezaliwa na nyumba? Kama kwenu hamkuzaliwa na nyumba haya ila mimi...
Watu wanasema sana kuhusu ile biti ya Dar Stand Up ya CHID BENZ. Ambayo ilinyongwa na Marehemu Pancho Latino ni biti kali sana,Pia Rashid alikuwa kwenye prime yake.
Zikitajwa biti alinyonga...
Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )...
Leo nimeenda duka kubwa la Target nikakuta bango la Flaviana Matata kama model kwenye brand ya nguo marekani ndani ya duka hili kubwa nikaona isiwe tabu nichukue foto kumuenzi binti yetu huyu...
Muimba taarabu Bilal Mashauzi ameaga dunia jioni hii. Msiniulize chanzo hata mimi sijui.Pumziko jema Bilal.
Moja ya kazi za Marehemu Bilal enzi za uhai wake
Huyu mwandishi ni binti mdogo aliwahikuandikia gazeti la Tanzania Daima kabla ya 'Miayo' na manyang'au kumkimbiza.
Alitabiriwa na Anton Lusekelo kuwa asingefika mwezi may 2017.
Ni muda sasa...
Sean "Diddy" Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kijinsia.
Mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney anadai rapper huyo aliyefedheheshwa aliwahi kumlazimisha kufanya ngono ya mdomo...
MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs a.k.a Diddy amefunguliwa mashtaka mengine ya unyanyasaji Kingono dhidi ya Mtayarishaji Muziki Rodney Jones Jr, aliyedai kufanyiwa ukatili huo pamoja...
Kama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha...
Tiwa savage "Wanawake bila Ngono hatutoboi" 🥶🥶🥶
Tiwa Savage 🇳🇬 : " mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa. Haya wewe hapo jiulize...
Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani.
Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.
Wakuu msaada mwenye ngoma ya jay moe Hili.game remix tafadhali.naiomba hapa. Mara nyingi nayoipata haipo fresh ipo sauti ya chini sana alafu biti haikimbizi vzr.
Msaada jamani nayoipata ni hiyo...
Da Dida hujambo bibie?
Za masiku mingi, naona siku hizi mashallah wazidi kuwa 'mzungu-pori'....nisalimie mwanao Samira.
Dada Dida, najua unanikumbuka, unamjua dada mmoja anaitwa Zanelle Ladies...
Habari wakuu.
Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3.
Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana...