Ukitaka kujua kuwa ku-shine hapa Bongo ni juhudi zako tu mwenyewe za kupiga kazi usiku na mchana,bila kulala na mwisho wa siku kufikia malengo yako,its true kwamba yapo majanga ya hapa na pale...
Kulikuwepo kikundi cha wasichana walikua wakikatika viuno barabarani huku wakiwa uchi.Ilikua maeneo ya Mbagala,polisi wakawakamata na kuwapeleka kituo cha Maturubai wakachalazwa viboko kwa kosa la...
Hii Bongo Movies siku hizi imekuwa kama laana kwa kizazi cha siku hizi nchini Tanzania. Ni jambo la kusikitisha kuwa kila siku kila wakati utasikia mwigizaji huyu ama yule amepiga picha za ufuska...
Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz...
Huko wapi huyu mwanamuziki siku hizi? Alitoka na Lwiza mbutu matombo morogoro , Wakati huo ndio karti ya wasanii wa mwanzoni kushoot video na kuonekana kwenye luninga ya ITV
Beyonce the queen of live performances did her thing once again at the 54th Grammys but this time there was a little extra something. She was joined by her husband Jay-Z and together they gave.
Mwanamuziki Jaguar wa Kenya Amefanya jambo la Maana baada ya kuwatoa wafungwa wawili jela ambao aliomba afanye nao Video ya Kioo Wimbo wake unao tamba sasa...Alifanya hivyo kwa kuwalipia Fine...
Producer Machachari wa Hapa Bongo Anaejulikana kama Lamar Amehabarisha Radio Moja hapa Bongo Kuwa ana Mpango wa Kununua Ndege yake Binafsi ili kumrahisishia Mizunguko yake Sehemu Mbali Mbali...
Ni video ya kawaida kabisa na nimeicheza mwenyewe na wacheza shoo wangu.Nilifanya hivyo baada ya video yangu ya Majanga kulalamikiwa kuwa
sikucheza.
Imeniuma sana video ya "Nimevurugwa"...
Cash Money Records co-founder &Hip Hop tycoon Bryan Williams,aka Birdman showed off his solid gold toilet on his instagram page yesterday.
Check out
- Whiz Khalifa and his son all blinged up...
Wema aachi vituko, Siku za Karibuni Wema amekaririwa na Gazeti moja la Udaku hapa Tanzania aka Bongo akisema kuwa Akifa yeye Basi Aagwe uwanja wa Taifa kwa vile jina lake ni kubwa Ndani na Nje...
Maisha uliyoishi zamani hayawezi kukukwamisha kufikia malengo uliyojiwekea. Hakuna mtu ambaye alifikiri leo hii Rose Muhando angeweza kuwa mwanamuziki mkubwa wa nyimbo za Injili anayelipwa fedha...
Justin Bieber amenaswa live katika video ya ngono.
Staa huyu wa nyimbo 'Confident' amenaswa katika kamera katika kitendo cha ngono na madada wawili. Kulingana na mtandao wa Radar Online...
Habari ya Mjini
Pamoja na matusi yote aliyotukana Chagga Barbie amabaye ni demu wa Prezzo sasa waamua kurudiana. Baada ya matusi ya kila aina aliyoyapata kutoka kwa mpenzi wake, Starlisha...
BEHOLD, the hot blonde stripper Justin Bieber recently used as a chew toy, in all her fake-breasted glory, and contrary to reports, she's definitely NOT old enough to be his mom.
26-year-old...
Leo hii umetimiza miaka 69 tangu kuzaliwa kwako pale Nine miles St. Anne Bay Jamaica.
Unakumbukwa na mamilioni ya walalahoi na wapigania haki huku duniani. kwa sisi Rastafarians, tunaamini bado...