Nakumbuka baada ya Irene uwoya kutolewa kwenye Gazeti la shigongo wakat alipofumwa hotelin wakifanya mambo yao na Diamond, ndipo bidada alipoanza kumtishia kuwa anajua uchafu wote wa shigongo na...
Namiss ladha nzuri ya aina ya muziki na mashairi yanayoakisi maisha ya mtanzania kutoka kwa makundi haya mawili ya bongofleva,sijui ni nini kimewasibu p'se rudini kwny game kwan kuna vitu fans...
Ukiachilia mbali wingi wa wasanii wanaofanya vizuri kwenye tasnia mbali mbali apa bongo, sio wote wanaobahatika kukubalika na kupokelewa vizuri na Jamii/mashabiki. Hawa ndio wasanii wenye mvuto...
wadau hebu nielewesheni kwa anaewajua hawa jamaa wa cash money i.e birdmann na kundi lake ni kweli wanamwaga dollars kwa wanawake kama inavyoonekana kwenye videos au it's not real na je ni kweli...
Happy Birthday to Akon. We wish him long
life and prosperity. Drop your birthday wish to
him.
The celebrity star Akon a Singer, songwriter and
a record producer was born on born April 16,
1973...
Agnes Jerald 'Masogange'.
AGNES Jerald, binti anayetumika sana kunengua na pozi katika video za nyimbo za wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya, amejipatia umaarufu mkubwa sana baada ya...
Kama unawapenda utanunua,Rihanna,kimkadashian,beyonce,lady gaga,nauza original perfum za celebrtitii hao zinatoka USA,price120000(laki moja na ishinini)bilakusahau original Victoria secret mist...
Kama wote tunavyofahamu, curvaceous Vera Sidika alikuwa msichana kiongozai katika video kali mpya ya Prezzo My Gal ambayo ipo katika albamu yake ijayo Rapcellency.
Hii ni licha ya ukweli...
1-Kigodoro
Jina tu linajitosheleza kudescribe u-local wa movie......ni drama-comedy kind of movie iliyochezwa Uswazi starred by well known stars kama Mama Abdul,Hemed,Diana Kimario,Kajala,Salim...
Rapper mwenye uhusiano na kundi la Wu-Tang Clan, Andre Johnson hana tena kiungo kinachomfanya aitwe mwanaume kwakuwa madaktari wameshindwa kuunganisha.
Mtandao wa TMZ uliandika kuwa Johnson...
Leo nawapa somo wadada,kabla sijasafiri muda huu.Huyo dada ashawai kuwa miss world ni miaka mingi sasa lakin ameweza kujitunza vizuri.Ukiangalia mamiss wetu wa kipindi cha nyuma sasa washakuwa...
Kutokana na siasa majitaka tunazozienyesha ccm tuna wakati mgumu sasa hivi kisiasa hata kijamii,na hii hali ya baadhi ya wajumbe wetu wa ccm ktk znz kutukana hadharani imetupotezea influence...
Rihanna takes sexy to another level,poses without panties for French magazine (+35)
Unapozungumzia msanii asiyeisha vituko basi unamzungumzia Rihanna, Jana mtandao wa TMZ na MTV...
NI mtafutano! Staa mkubwa wa sinema za Bongo, Blandina Chagula Johari ameingia kwenye vita ya maneno na bosi wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma ikiwa ni siku chache tangu jamaa...
Habari wanajf!!
Naomba leo nitoe ya moyoni kuhusu mtangazaji wa Tbc radio na TBC 1.
Toka nimemfahamu kisu ni mtangazaji bashashi sana wa vipindi mbalimbali pale TBC ikiwapo taarifa za habari...
MSANII maarufu wa Bongo Movie, mrembo na mwenye pesa pengine kuwazidi wengi na ambaye hivi karibuni amezua mijadala mikubwa baada ya kurudiana na mpenzi wake wa zamani Diamond, ambaye pia ni...
Katika kuzid kuitangaza Tanzania katika Africa na Dunia kwa ujumla Diamonds Platnumz ameingia kwenye categories mbili za MTV Africa Music awards pamoja na mtanzania mwingine ambaye ni Anisa...
Hivi yuko wapi na anafanya nini kwasasa aliyekua mnenguaji maarufu wa Twanga Pepeta!!alikua ana umbo fulani Hivi, akianza kukata mauno utaitazama tu Twanga.