Hivi karibuni kumekuwa na mashindano kila mahali yakibeba jina la Rais Samia, ambapo matukio kama haya yanaangaliwa kama sehemu ya mikakati ya kuimarisha mahusiano na wananchi kuelekea uchaguzi...
Moja kwa moja kwenye mada.
Kumekuwa na mijadala mitandaoni kua Rayvany anaimba nyimbo zake kwa mfumo/mtindo uleule kitu ambacho kinasababisha watu kutomuelewa msanii huyo
Mfano hio post ya X...
Husika na kichwa cha habari hapo juu Jamani mdogowetu amefunguka kuwa anatafuta mwanaume wa kumuoa
Vijana mpooo sio mnasema hamna wanawake hamna wanawake, ee Wema ana hela zake, ana maisha yake...
Mcheza filamu maarufu nchini Urusi Kristina Lisina Almaarufu Kama KRIS THE FOX usiku wa kuamkia Jana amefariki kwa kile kinachoongelewa ni kudondoka kutoka gorofa ya 22 Kwenye apartment alikokua...
Wema sepetu ametoa mil 13 cash leo mahakamani kuzuia msanii kajala asiende jela kwa miaka 8, baada ya hukumu yake kutolewa leo..halla! mamy sepetu.
Hukumu ya Kajala ni kwamba kesi ya kwanza...
Habari zenu wanabodi.
Kama mtakumbuka vizuri, mwaka 2017 Diamond alianzisha platform ya kuuza muziki ya kuitwa Wasafi Dot Com ambapo watu walitakiwa walipe kiasi cha 300 ili waweze kununua...
Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa...
PRODUCER LAMAR
Producer Lamar amesema yeye na Producer P Funk Majani ni mtu na binamu yake lakini Majani alikuwa hana imani nae kwenye upande wa utayarishaji wa muziki japo alimuonesha kwamba...
Sijui nani ndio mmiliki halali
Wale wapinzani wa jadi wa mda mrefu ambao kwa sasa wameweka tofauti zao pembeni wamezaliwa tarehe 1 mwezi wa 5
source, Clouds FM
Wakuu muziki unalipa na bwana Isaya Mtambo a.k.a Chino Kidd ameendelea kuyaishi matunda ya kazi hiyo.
Taza hilo licheni la bei mbaya alilomzawadia LeeMckrazy, msanii wa Afrika Kusini just for...
Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo!
Sikia hii, labda kama umezaliwa kuishi na kufa (kimziki) ndani ya WCB. Pengine unalijua hili, na huna cha kufanya kwa maana uwezo wako ndo umeishia hapo...
Mwanamuziki na mratibu wa matamasha, Miriam Mauki amesema hakuna mwimbaji anayelipwa kama Rose Muhando katika tasnia ya muziki wa injili Tanzania lipokuja suala la kufanya matamasha.
Soma Pia...
Tangu kutokea msiba wake sifa lukuki zimekuwa zikitolewa kuhusu maisha na kazi zake ambazo nyingi ni za kweli. Lakini kama tujuavyo hakuna binadamu aliye mkamilifu hivyo ukitaka kumuelezea mtu...
Kila mara nilikuwa namwona mbele huku akipewa Kipaumbele cha Kutukuka kabisa. Nitashukuru sana nikieleimishwa kuhusu Umuhimu wake mkubwa katika tukio zima.
Nawasilisha.
Mtangazaji wa Clouds, Milard Ayo sijui anawafanya nini co-presenter wake wa kike.
Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini.
Kitu kidogo tu akiongea utakutaa...
Msanii Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka kuhusu mambo mbalimbali, kama vile wapi anapata pesa, ukaribu wake na GSM na aliyekuwa Governor wa Mombasa Hassan Joho na kuhusu kutelekezwa...
Ommy Dimpoz ameachia ujumbe baada ya baba yake kutengeneza headlines mitandaoni. Mwishoni mwa video ameeleza wazi baba yake hakumjali hivyo hana sababu ya kumfahamu kama baba ingawa anamheshimu...
Naomba kuuliza wake kwa waume humu, kuolewa kunamaanisha mwanamke kujitoa ufahamu na kuhama au kubadili familia na ukoo?
Maehemu Shamsa Kombo aliacha usia akazikwe huko mwitongo kwa mume wake...