Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Akiendeleza vita vya maneno kimashairi pamoja na ucheshi katika misemo yake, Bepari la kihaya ama waweza muita Mpoki kutoka kundi la Orijino Komedi awamu hii akiwa amemshirikisha Ben Pol ameachia...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
MGAHAWA wa wasanii wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi (OK), umejipatia umaarufu mkubwa na kujizolea idadi kubwa ya watu, wanaohudhuria Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakuu, Watu wa karibu wa huyu ndugu yetu Millard Ayo wanadai ndio anamiliki mtoto Vanesa Mdee. Wameonekana sehemu nyingi pamoja, hata interview anazofanyiwa Vanesa na Millard zinaashiria kitu...
0 Reactions
41 Replies
16K Views
Jumapili moja moja nimekuwa nikifuatilia hii show ya TMT. Watangazaji wake (Joti na Lulu) kwa kweli nawakubali, wamejipanga vizuri. Majaji mmh, namkubali mmoja tu, Monalisa. Richie na yule sijui...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Productions inayoendesha shindano la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam' amesimulia mateso aliyopitia takriban mwaka...
2 Reactions
102 Replies
20K Views
kesho diamond anaachia video zake mbili,mdogomdogo na bambam aliyoimba na iyanya wa Nigeria.ambayo imelenga soko la nje ..chini ni video link ya teaser ya mdogomdogo aliyoifanyia South Afrika...
2 Reactions
20 Replies
9K Views
Mafanikio! Taarifa ikufikie kuwa staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah' amekanusha stori za madai ya kuhongwa gari jipya analosukuma mjini kwa sasa aina ya Toyota Mark X. Linah...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Msanii kutoka pande za Naija aka Nigeria Davido aka Mr. Awards baada ya kuchukua tuzo za MTV, MAMA kama best male na ingine ile ya BET tuzo zote zikiwa ni za mwaka 2014. Davido ameanza kuonesha...
0 Reactions
57 Replies
11K Views
Aisee jamaa yuko fit jamani, Wanasema mwenye nacho anaongezewa nilichokiona Jana jamaa alikuwa anarushiwa dolla kama Yale makaratasi ya miatano pale leaders Nilikuwa Serena hotel KGL tukaambiwa...
2 Reactions
64 Replies
9K Views
Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba heshima ya udaktari kutokana na kuwa mshauri na balozi mzuri wa muziki. Mwaka 2003...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
davido kachukua tuzo ya msanii bora kutoka afrika,na hvyo kumbwaga tena Diamond platnumz beiby kama alivombwaga kule south kwenye tuzo za MTV,ambapo diamond alipata aibu ya mwaka kwasababu...
2 Reactions
323 Replies
35K Views
SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu. Wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha...
0 Reactions
88 Replies
15K Views
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu japokuwa sina uhakika sana kama yule mpopo Davido kama alishiriki kwenye tuzo hizi, lakini the comfirmed news hadi sasa Diamond kashinda Kora Music Awards, kama the best male Artist in East...
0 Reactions
68 Replies
13K Views
Kwa wale waliokuwa watazamaji wa ATV(Abood Television)ya morogoro miaka ya tisini mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kulikuwa na wasanii waliokuwa wanafanya sanaa ya maigizo pamoja na mzee...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WHY I KISSED WEMA SEPETU?? HILO NI SWALI NIMEULIZWA NA WATU WENGI... AND NIMEONA BAADHI YA MAGAZETI YAMESEMA NILIKACHA SHOW NA KWENDA KUMBUSU WEMA.... KIUKWELI HUYU MSICHANA AMEKUWA AKINIPA NGUVU...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Mwonekano wa nyumba kwa nje!Eneo la ndani kwa jiko!Jide mwenyewe akijitanda sehemu ya mapishi!Sehemu ya mapumuziko! Ney vs Jide nani katokelezea zaidi?
4 Reactions
104 Replies
43K Views
hapa akiwa anaomba namba za Radio na weasal baada ya kuwashobokea
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Pamoja ya kusafiri na designer wake kuna kila dalili msanii diamond karudia kuvaa koti la suti aliliovaa MTVAMA kwenye BET Awards. Au hilo koti limepitia kwa babu nini? Alafu ameshindwa kuelewa...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…