Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nyota wa rap wa Marekani, Young Thug, ameachiwa kutoka gerezani jana Alhamisi baada ya kukiri mashtaka ya kushiriki katika uhalifu wa genge, kumiliki silaha, na kutumia dawa za kulevya. Kesi hii...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kabla ya CHIEF GODLOVE Kutamba Mitandaoni Kulikuwa na Mwamba Mmoja Aitwaje BILLIONAIRE SHILLAH (Nadhani Huyu Hata Watoto wa Elfu 2 Wanamjua), Huyo SHILLAH Alituaminisha kwamba Yeye ni Miongoni mwa...
1 Reactions
3 Replies
740 Views
Wanabodi, Hii ngoma mpya ya Whozu na Zuchu mmeisikia lakini? Kama una mwanao pembeni hakikisha unamvalisha headphone everytime wimbo huu ukiwa unapigwa huko mtaani. Lugha iliyotumika ni kali...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana...
25 Reactions
75 Replies
3K Views
Huu ndio wasifu wa Ibrahim Pasha anayeigiza katika Tamthilia ya Sultan kupitia King'amuzi cha azamtvtz ndani ya chaneli ya Azam Two. Jina lake halisi ni Okan Yalabik.alizaliwa tarehe 13/12/1978...
14 Reactions
50 Replies
26K Views
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game. Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi. Wanaume/Mwanaume usile chips we...
8 Reactions
85 Replies
4K Views
Kwa wasiomfahamu, Young Lunya Ni Moja ya Rappers wenye flow kali hapa Bongo inayoambatana na unyamwezi mwingi. Going to the point, Muonekano wa Young Lunya hivi karibuni umekuwa wa kutia Mashaka...
8 Reactions
57 Replies
8K Views
Msanii Ali saleh Kiba Alimaarufu Kama Alikiba Kutoka Kigoma Anasifika Kwa Uwaandishi Mzuri licha Ya mara nyingi Kutofuata Urari wa Vina Na Mizani katika mashairi Yake. Mnamo Mwaka 2006 aliachia...
16 Reactions
33 Replies
3K Views
Yeeeerrrrreeeeh Mwana masumbwi mmarekan mstaafu Floyd Mayweather aitembelea tena taifa teule (Israel) kwa mara ya nne tangu October 07 2023. Safari yake hii ya nne kawatembelea wanajeshi wateule...
11 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Mko vizuri? Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti. Dotto...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
1. Msanii maarufu wa Sanaa za Maonyesho, almaarufu Mzee Jangala apewe heshima yake kabla ya umauti. 2. Miaka ya 1990 Mzee Jangala ametikisa sana RTD. NB: Aenziwe na kupata stahiki zote - ikiwemo...
14 Reactions
33 Replies
3K Views
Kupitia ukurasa wa Wasafi Fm huko Instagram, wametangaza Maulid Kitenge ameondoka rasmi Wasafi Fm kuanzia leo sio tena mtangazaji wa kituo hiko!
14 Reactions
174 Replies
30K Views
Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz Lord Eyez baada ya kukamatwa akiiba Muda mfupi uliopita Ommy Dimpoz ametweet picha hiyo juu na kuandika maelezo haya:
0 Reactions
65 Replies
16K Views
Video ya wanamuziki Nandy na Billnass wakiwa wako faragha wakipapasana kimahaba imevuja na kusambaa sana mitandaoni. Wawili hao ambao wana historia ya kuwa wapenzi wameonekana wakiwa kitandani...
3 Reactions
364 Replies
110K Views
Huyu anaitwa Baba , Muheshimiwa, Mkuu nabii George Davie Kwa Arusha yuko Kisongo huko. Sadaka anazikusanya hasa Lakini anarudisha Kwa waumini wake Utasikia katikati Ibada inasimama show inaanza...
14 Reactions
64 Replies
3K Views
NI STORY YA UTOTO MWINGI NA UPUUZI MWINGI: Binti anaitwa Jania Meshell Alikuwa mpenzi wa rapper anaeitwa nba youngboy na pia alifanikiwa kuzaa nae. Baada ya kuwa wameachana. Binti huyu...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Jamani mimepokea kwa masikitiko taarifa za kufariki kwa huyu mtoto....Mungu akutie nguvu Juliana... sote safari yetu ni moja... Huu ugonjwa unatesa jamani, have been battling with it on and off...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Yupo wapi Arme. Last time photos surfaced alikuwa teja. Did he get help?
0 Reactions
1 Replies
520 Views
Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu...je tutarajie Nini kutokea baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi Kwa nabii mkuu pamojaa na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…