Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
[h=3]Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz[/h]

lord-eyez-2.jpg
Lord Eyez baada ya kukamatwa akiiba

Muda mfupi uliopita Ommy Dimpoz ametweet picha hiyo juu na kuandika maelezo haya:
ommy-2.png

Duh chaliii wa R mbona unatuangusha?na poz aliloweka laonyesha kuna ukwel kanyweaaaaaa!
 
Hawa AKINA OMMY DIMPOZ and CO. ni w.ase.ngenyaji sana, kwani hajui kulock gari mpaka anaibiwa hivyo vitu, ulimbukeni na kigari cha M12. OMY DIMPO, DIAMOND, SHETA, MAVOKO, BOB JUNIOR, HUSEN MACHOZI,,,,BINAFSI SIONI KAMA NI WASANII, HAWANIKONGI KABISA KWA NYIMBO ZAO ZA KIFUSKA!
 
Kufulia kubaya sana
Mbaya zaidi ukifulia ukachanganya na bangi mbaya sana
 
Huyu mnyamwezi kabla hajaanza ngada nilikuwa namzimika sana!....full mnyamwezi!
 
kwenye track yake mpya anasema..'SANAA ISIWE NGAZI YA KUTENGENEZA MASIKINI WENYE MAJINA MAKUBWA,SANAA IWE NI KAZI,SANAA ISIWE NGAZI'...
 
bangi nibangue akili yangu niachie! Eyez utachomwa moto kama maisha magumu rudi kwenu Ar katembeze watalii
 
Unga huo..hawa wasanii wakishafulia ukiwaona unatoa machozi..nimemuona Nurueli siku moja aisee unatoa machozi kabisa nafikiri amekuwa chizi.
 
Unachukia wezi au unachukia wasanii?

Hawa AKINA OMMY DIMPOZ and CO. ni w.ase.ngenyaji sana, kwani hajui kulock gari mpaka anaibiwa hivyo vitu, ulimbukeni na kigari cha M12. OMY DIMPO, DIAMOND, SHETA, MAVOKO, BOB JUNIOR, HUSEN MACHOZI,,,,BINAFSI SIONI KAMA NI WASANII, HAWANIKONGI KABISA KWA NYIMBO ZAO ZA KIFUSKA!
 
Mbona habari yenyewe kwakifupi sana mi nimeickia hii tori clouds halafu kama wanafichaficha majina nikamazama huu mwambien Ommy Dimpozi atirrke
 
Hawa AKINA OMMY DIMPOZ and CO. ni w.ase.ngenyaji sana, kwani hajui kulock gari mpaka anaibiwa hivyo vitu, ulimbukeni na kigari cha M12. OMY DIMPO, DIAMOND, SHETA, MAVOKO, BOB JUNIOR, HUSEN MACHOZI,,,,BINAFSI SIONI KAMA NI WASANII, HAWANIKONGI KABISA KWA NYIMBO ZAO ZA KIFUSKA!

ishu ni kuwa Mvuta unga mwenzio ndio hivyo tena kageuka kibaka..!...Na mwisho wa mateja ni ushoga! sasa ww baki tu eti kina sheta hawanikongagi kabisa!.. sasa huyo ***** anakukonga kwenye nini?... yaani unaandika kama demu bwana!..
 
Hawa AKINA OMMY DIMPOZ and CO. ni w.ase.ngenyaji sana, kwani hajui kulock gari mpaka anaibiwa hivyo vitu, ulimbukeni na kigari cha M12. OMY DIMPO, DIAMOND, SHETA, MAVOKO, BOB JUNIOR, HUSEN MACHOZI,,,,BINAFSI SIONI KAMA NI WASANII, HAWANIKONGI KABISA KWA NYIMBO ZAO ZA KIFUSKA!
inahusika vipi na bandiko?
 
Back
Top Bottom