Victor hafai- kabisa,Kwa wasiomjua- huyu jamaa ameanza- hizi vurugu- kitambo.
Ameshawatapeli kina Ay birmigham Ay alienda clouds akachafua ila nadhani watu wakawa hawajajua kiundani ni nani...
Dansa wa Nasibu Abdul ' Diamond ' , Moses Iyobo amefunguka kuwa hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi . Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa...
Kwanza wanajitahidi na kujituma katika kazi zao za muziki, lakini wana mapungufu ambayo ni vema wayarekebishe.
Katika nyimbo zao wanakera kwa kuweka maneno ambayo yanachukua sehemu kubwa na pia...
Udaku Specially Imefanikiwa Kupata Picha za Waanzilishi wawili wa Mtandao Mkubwa East Africa wa Jamii Forums ambao ni Maxence Melo na Mike , Najua ni Wengi Mlikuwa mnapenda Kuwajua kama mimi...
Kupitia Instagram ya Ray C ameandika: Taasisi ya Ray C Foundation iliyo chini ya muimbaji mkongwe, Ray C imefanikiwa kuongeza mradi mpya wa mgahawa ambao utatoa fursa ya ajira kwa vijana...
Umofia Kwenu wadau wa JF,
Kweli wahenga waliona mbali na kauli zao na nimeamini hakuna marefu yeyote yasiyokuwa na mwisho,usemi wao umethibitishwa na ma- beautiful oninyes wa donta,miaka kadhaa...
"Nawashangaa sana watu wengine mnajifanya mnajua sana kuongea kuhusu mambo yasiyo wahusu kuna mzazi yoyote anataka mwanae apotee aache mambo ya kishamba unataka mtoto avae dira kwani yeye mtu...
Taarifa ikufikie kwamba sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ' Lulu' amemnasa aliyekuwa meneja wa Wema Isaac Sepetu , Martin Kadinda ambaye ndiye atakuwa meneja wake kwa sasa...
SIKU chache baada ya kufunga ndoa , mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Dernmark , Janus Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la uraia wake...
Msanii maarufu wa filamu nchini, lucy komba, ambaye ivi karibuni alifunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake wa siku nyingi, ambaye ni raia wa denmark. Msanii huyo amewatupia dongo la haja wabaya wake...
Msanii wa nyota wa kiwanda cha filamu Bongo, Aunty Ezekiel na mbongo fleva, Kassim Mganga wamepata nafasi ya kutembelea ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington Dc nchini Marekani na kupata...
Habari zenu wakuu..
Kayika pitapita zangu instagram nikakutana na post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja wake mpya Elizabeth michael aka Lulu.
Nilishangazwa sababu maneno haya hayakutakiwa...
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba' anadaiwa nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Marwa baada ya kumpiga na kitu kizito kichwani mpaka...
Haijajulikana kama ni stunt au ni ukweli wa moyo wake katika vipimo. Ila staa kutoka group ya wanamuziki wa Marekani wanaojitanaibaisha kuwa wana 'mtonyo' wa kufa mtu YMCMB, Lil Wayne ameujulisha...
Staa wa filamu nchini, Aunty ezekiel kwa mara nyingine ame make headline baada ya tetesi kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa staa huyo anajivinjari na staa mwenzie wa bongo fleva, kassim...
Nimekuwa nikisoma post mbalimbali za kuwasifia wanamuziki wenye sauti nzuri kama Bella, ommy dimpoz, diamond, Ally Kiba, Blue nk. Ila niwakumbushe kuwa kiboko ya hao wote ni PAPII KOCHA ambaya kwa...
Huu ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa aliyekuwa manager wa msanii maarufu, Wema Sepetu aitwaye martin kadinda( picha chini), mwenyewe aniita manhattan ya Sinza.
Alipost hii picha juzi kwenye...