Yule msanii anayesemekana kuwa ni bilionea kuliko msanii mwingine yeyote Tanzania ambaye pia ameanza kujenga hekalu lake huku likiwa halijakamilika kwa mvua tatu sasa (miaka mitatu), ambaye pia...
baada ya kutusaidia kupunguza kelele za mwanajeshi wa sinza kwa kushinda EMA best african act sasa tuwasaidie pia washinde best worldwide act..vote for these talented dudes...sura yako muzuuuri...
Hii ameandika kupitia ukuta wake wa Instagram.
Ni Tanzania pekee Miss Tanzania anaulizwa kuhusu taarifa tofauti kwenye Passport, Leseni ya Udereva na Cheti cha Kuzaliwa anajibu kwamba hilo ni...
Ally Kiba akihojiwa na Amplifire ya Mirlad Ayo ameulizwa maoni yake ni wasanii gani walimvutia kwenye show ya Fiesta amewataja wanamuziki kadhaa pamoja na Diamond.
My take: hapa ndio tofauti ya...
hii imetokea university of florida ambapo wanafunzi wa kiswahili wakizungu walionekana kumhusudu diamond hadi kufikia kutengeneza movie ya kumbembeleza akapige show hapo!!!!! jamaa ni super staa...
Katika vitu ambavyo ni muhimu kwenye modaling ni urefu. Mwanamke huwezi kuhesabiwa kama we ni mrembo anaekidhi vigezo kama hutokuwa na height iliyosawa. Msanii Lulu Michael ni moja kati ya wasanii...
Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida
NDOA basi! Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' amezima ndoto za kuishi maisha ya mke na...
kufuatia kauli aliotoa mwimbaji wa bongo fleva nasibu abdul a.k.a diamond kumeibua hisia tofauti na chuki kwa wapenzi wa muziki wake ,kauli ya mwimbaji uyo kusema kuwa katika mkoa wa mbeya amna...
HIZI NI SENTENSI 4 ALIZOZISEMA MENEJA WA DIAMOND KUHUSU DIAMOND KUZOMEWA KWENYE FIESTA..
1.sisi tumechukulia sehemu ya mashindano,uzuri sisi tuliambiwa na uongozi wa Clouds kabla ya Diamond...
Wanandoa , muigizaji Flora Mvungi ' H. Mama' na mwanamuziki Hamis Ramadhan ' H. Baba ' wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa
Akizungumzia mjengo huo walioupanga...
Kupitia akaunt yake ya instagram jaydee ameelezea alivyochukilia mwaliko wake wa kuwa mgeni rasmi katika sekondari ya unyanyembe inayomilikiwa na jeshi kuwa ni zaid ya heshima kwake.
Ni kwamba...
Wadau siku za karibuni mtakumbuka kuwa Mrisho Mpoto alipewa za uso hapa jukwaani mara tu ya kutangaza nia ya kupambana na John Mnyika pale jimbo la ubungo 2015. Kweli nahisi huyu jamaa watu...
Okay, Kuna watu wanataka ku-prove kuhusu hizo taarifa za umri wa Miss wetu fuata hizi steps, ni simple ingia https://i94.cbp.dhs.gov/, then chini chagua I agree, bofya proceed halafu ikifunguka...
Vyeti vya Miss Tanzania 2014 vyaanza kuchunguzwa na RITA, ikibidi Polisi kuhusishwa
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), imeanza uchunguzi wa vyeti vya Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas...
Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay', mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha...
Mimi naamini kuwa kuna wakati Watanzania tunatatizo la kutenganisha ushabiki wa kisiasa na ushabiki katika vitu vingine.
Pamoja na kuwa kuimba ni kipaji lakini ni zawadi toka kwa Mungu, na ndio...
Dear Ali Kiba 4real kuwa makini na hawa watu wanaofurahia kuzomewa kwa Diamond.Hawa watu wanaomchukia Diamond leo ni hawa hawa watakuchukia siku ukifika level za Diamond.Kwa zawadi ya sauti ya...
Miss Tanzania naona umesahau kuwa wewe ni mwakilishi wa taifa la Jamuhuri ya Muungano Tanzania,
Hivyo uwakilishi wako siyo kuwa unawakilisha jina lako kama Sitti Mtemvu bali unawakilisha taifa...