Huyu Ndugu nnimemsikia kwenye tangazo la E fm muda si mrefu, inaelekea ndio kashamaliza mkataba wake na times fm. Sijamsikia muda sasa kwenye Maskani.
Habari ndio hiyo wadau wa Maskani!
Baada ya kuanzisha mashindano ya mbio kati ya farasi(Dimond) na kobe(kiba) na kutaka kuiaminisha dunia kuwa kobe ana mbio kushinda farasi, hatimaye ile miradi iliyotangazwa kwa nderemo na vifijo...
Hii ni kutoka kwa kamati ya miss Tanzania kwamba kuepusha utata wa umri na udanganyifu kamati imeamua kuanzia sasa warembo wote wanaotaka kugombea taji hilo maarufu waonyeshe pia na kadi zao za...
STAA wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina' amefunguka kuwa yuko katika mateso makali baada ya kuzuiwa kumuona mwanaye kwa takriban miezi mitatu na mzazi mwenzake.
Akizungumza na mwandishi...
Sikupata fursa ya kutazama shindano la Miss Tanzania.Hivyo kwangu hii ni habari nyingine ambayo sikuwa nikiifahamu kuhusiana na mlimbwende wetu Miss Tanzania Sitti A.Mtemvu.Pengine wapo baadhi...
Wakuu.
Kuna vitu nimekaa na kuvifikiria kuhusu hili sakata la umri wa Miss Tanzania Sitti Mtemvu.,Hebu tujiulize, mamiss Tanzania waliopita ambao walikuwa watoto( wadogo kiumri) waliifanyia nini...
Nimekusifu diamond kwa kukaa kimya,tukio la fiesta watu walijua utapagawa na kuongea hovyo na media.naamini sasa wamechokoza moto.
Diamond fungua macho maadui zako ni wengi na si Kiba...
kwani miss Tanganyika si ni yule bibi bomba,sasa mbona Jana kahojiwa mwingine na amesema a naenda,Miss world?
kwani Sitti wamempora chance?
sikuangalia sana kipindi kwani lugha aliyokua...
Habari ambazo zinasambaa hasa kwa whatsapp ni kwamba Sitti Mtemvu,miss Tanzania (bibi bomba) anamzidi mdogo wake miezi 7.Hii imesemwa na marafiki wa mdogo wake na miss Lundenga.
Taarifa zaidi...
(Zimeambatanishwa)
Mie ni mmoja wa wale wa Tanzania tuliokua tukipenda mashindano ya Miss World. Na nchi yetu ilipoanza kupeperushwa huko duniani tena katika mashindano haya tulifurahia sana...
Msanii nyota wa filamu nchini Sherry Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika picha hii iliyopigwa na mwandishi wetu Ijumaa...
Imekuwa ni kawaida yenu vijana wa TZ kuwachukia wenzenu wanapopata mafanikio.
Ninayo mifano ya Mr Nice, Daz B n.k ambao mliwavunja nguvu na kuwakatisha tamaa hadi kupelekea frustratration...
Katika kile kinachoonyesha kwa wasanii wa bongo kuanza kujitambua na kutumia brand zao vizuri katika kujipatia kipato, Msanii kinara katika muziki wa Tanzania ambaye haishi kutajwa katika vinywa...
Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuhofia buu buu alizopata wakati wa fiesta na kufanya shoo ya...
Mi naamini hakuna ubaya kumsifia Diomond kwa jitihada alizozifanya mpaka kufika alipo sasa na anazoendelea kuzifanya kuendelea kusonga mbele. Pia kwa m2 yeyote asiye na chuki binafsi na dogo hata...
Madansa wa mwanamuziki Diamond Platinumz (Nassib Abdul) wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni kwa kosa la kuvaa mavazi yanayofanana na yale ya JWTZ wakati wa onyesho/tamasha la Fiesta...
Mwaka 2010 CCM walimtumia msanii MALLOW mzee wa bembeleza aliyekuwa hot kwa wakati huo kwenye kampeni za uchaguzi,baada ya uchaguzi jamaa kapotea kabisa kwenye game kwa sababu watz 70% chama hiki...