Kiba unapofanya "Yaaaaaa" unaharibu nyimbo na unaboa

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.
 
Mwacheni apumue. Nadhani ni vema tukafikiria kitu au watu ambao watasaidia kuboresha kazi zake. Wadau wa muziki, baada ya kumzomea mfululizo huyo kijana tutoe ushauri wa nini kifanyike ili naye afanikiwe.

Nimejawa na huruma, tutoe ushasuri constructive hapa.
 
Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.
Pengine ni maelekezo ya mtaalam huwezi kujua.
 
Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.
Yaani kwa ulivoandika inaonyesha Una chuki binafsi na kiba tena chuki za kitoto
 
halafu kweny wimbo wa nuh mziwanda,jike shupa ndo kairudia kma mara saba hivi kila wakati...bora abaki na iyo signature yke ya "pop it in" tu tn iwe anaingiza mwanzoni mwa ngoma au mwishoni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom