Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mara baada tu ya kuonekana katoboa pua ilikua gumzo sana...
Wema Sepetu alitrend mpaka nigeria kwa vazi lake linaloonyesha umbo lake la CURVE, japo watu wanahoji ni shape yake,maana haikuwepo mwaka jana imetokea wapi. je ni mchina?
Hawa wadada wawili waliunda kukundi kilichoitwa Unique Sisters. Kwa majina kama nakumbuka
ni Razia na Rahma Kipoozi. Wadada hawa waling'ara sana miaka ya 1985-1990 hivi.
Vibao vyao sivikumbuki...
leo June 28, 2017 ni story ya Nay wa Mitego ambaye amekuwa akishutumiwa kuachia wimbo mpya Moto siku chache baada ya Diamond Platnumz kuutambulisha wimbo mpya pia Fire kitu ambacho kinadaiwa kuwa...
Nimegugo hizo tuzo za mwaka huu.
Huyu Ray sijamuona sio kwa waliotajwa kushindaniwa wala walioshinda.
Au kuna tuzo nyingine zenye jina BET? Nielewesheni.
Habari wanajamvi.
Mchungaji Gwajima alikuwa ana make headlines katika vyombo vya habari hapa nchi kama miezi kadhaa hivi huko nyuma. Cha kushangaza sasa hivi amepotea.
Je amesafiri au ana...
Msanii wa kizazi kipya, Rayvanny aliyeshinda tuzo ya BET kipengele cha International Viewers Act 2017, atawasili nchini leo saa 8 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
Leo ngoja niwe muwazi kabisaaa..
Nahreel wewe ni moja ya maproducer classic na wenye vipaji vikubwa sana hapa bongo.
Tangu nilipoanza kuskia midundo yako kipindi unampigia joh makin miaka hiyo...
Kipindi wimbo huu unatoka takriban week moja iliyopita watu waliuponda sana na wengi kuanza kutabiri kuwa huu ndo muda mwafaka kwa bwana domo kushuka kimziki na dhihaka za kutosha....lakini cha...
Anybody watching this right now?
This is about the only 'award' show that I really watch from beginning to end.
Not so sure though about this year's host.
I understand the need to switch things...
Nipo Naangalia vichekesho Azam Tv live,
Kiukweli wachekeshaji wa Tanzania bado tupo nyuma sana aisee, ingawa wametangulia watangulizi,
Bado kuchekesha sisi wabongo hatujaweza, ngoja tuone wale...
Congratulations @rayvvany to BETAwards17 Best International Viewers' Choice winner @rayvanny,
Mwanangu umestahili kushinda maana hata walio shiriki kabla yako umechangia kwa kiasi kikubwa ktk...
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili,
Leo Nawaletea Furra Kubwa Nne Za Namna Unavyoweza Kugeuka Milionea Kupitia Beef La Diamond Na Alikiba, Ili Tunapoenda Kuanza Mwaka 2017 Tusiishie Tu Kubishana Na...
Nachukua nafasi hii kuwakumbusha watani zangu WAHAYA moja ya jambo mnalolipuuza huyu mwana mama msanii maarufu SAIDA KAROLI kwa namna moja au nyingine amewapandisha saana kwenye...
Kumekucha wakuu, game ya hip hop bongo imekazaa sasa maana kila kukicha ni battle after battle hii ni battle ya pili sasa baada ya ile ya msanii wa twitter "wakazi" dhidi ya king from salasala...
Diamond baada ya kufukuzwa vevo amerudi kupost video zake kwenye account yake ya kawaida. Vevo wamemtimua. Wanataka wanamuziki wazuri wa kimataifa kama wizkid na davido. Pia hawataki msanii...
Leo ngoja niwe muwazi kabisaaa..<br /><br />Nahreel we moja ya maproducer classic na wenye vipaji vikubwa sana hapa bongo.<br />Tangu nilipoanza kuskia midundo yako kipindi unampigia joh makin...