Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,173
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili,
Leo Nawaletea Furra Kubwa Nne Za Namna Unavyoweza Kugeuka Milionea Kupitia Beef La Diamond Na Alikiba, Ili Tunapoenda Kuanza Mwaka 2017 Tusiishie Tu Kubishana Na Kutukanana Mitandaoni Kuhusu Hawa Vijana Bali Tuingize Mamilioni Kama Tunayo Nafasi Hiyo:
Now Here Go,
1. ANZISHA FAN PAGE YA MSANII UMPENDAYE.
- Anzisha Fan Page Ya Msanii Umpendaye Kati Ya Kiba Au Diamond Then Post Mambo Kadhaa Yamhusuyo - Utakusanya Lundo La Followers, Wakiwa Wengi Fanya Biashara Ya Matangazo. E.G Shilole Kiuno Ana 300k Followers.
2.ANZISHA BLOG/WEBSITE THEN WEKA CONTROVERSIAL TOPICS
- Hapa Namaanisha Kama Unayo Blog Au Site Yoyote Weka Topics Za Kumdiss Msanii Mmojawapo- Utapata Bonge La Traffic Mashabiki Wakimtetea Mtu Wao.
3.ANZISHA SHINDANO LISILO RASMI , DIAMOND VS KIBA
- Kuna Siku Niliona Tangazo Kwenye Gazeti La Udaku Likitaka Watu Wapige Kura Kati Ya Chekecha Video Vs Nana Ipi Kali, Namba Ya Kutuma Kura Ni Code
4.ANDAA SHOW KAMA TIGO KIBOKO YAO
- Hapa Nadhani Diamond Atagoma Kushiriki