Wanamuziki AY na FA wamedai kiasi cha fedha bilioni 2.1 mahakama iliyoamuru Tigo iwalipe ni hela za kawaida kwao kwa sababu wameshakamata hela kama hizo mara nyingi
Wamesema wao wametoa kama...
Peter Msechu ndiye Mwanamziki wenye uzito mkubwa, yeye wenyewe anaonekana kufulaishwa na umbo lake (BIG), Sasa msanii huyo ameandamwa na watu kuwa afanye mazoezi makali ili apungue na yeye kusema...
Huyu binti dada yake na msanii Kiba kiukweli anamwonekano bomba na anatupia sana mavazi ya kujistiri pia sijawahi sikia ana skendo za ajabu ajabu kama zile za dada zake na msanii wa upande wa pili...
MSANII wa filamu Bongo , Miriam Jolwa ' Jini Kabula 'na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu , Ruta Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha ndoa tena .
Akizungumza Kabula alitoa ya...
Wasanii mbali mbali wakiwa njiani kuelekea Tanga kumsupport Rais Magufuli atakapoweka jiwe la msingi katika mradi wa Bomba la Mafuta Tanga Kesho, Namuona Stamina,@shilolekiuno_badgirlshishi na...
Rihanna anawapatia wasichana nchini Malawi baiskeli ili kuwasaidia kupata elimu. Ni mojawapo wa ushirikiano kati ya Wakfu wa mwanamuziki huyo wa Clara Lionel Fountaion na kampuni moja ya baiskli...
Hakika huyu dogo kwa umakini na umahiri wa hits anazotoa, muda si mrefu atakuwa nyota namba one pale WCB na Tanzania kwa ujumla!
Hasa baada ya Diamond kuanza kuimba nyimbo za singeli.
Hakika...
Harmonize amesema kuwa Kabla ya Mr Nice, nilitaka kumuweka Bwana wa zamani wa Wolper (Dallas) kwenye Video yake ya Sina. Unaweza bonyeza play kumsikilize akifunguka mengi hapo chini.
Wengi sana najua hawajailewa Video ya ENEKA ya Diamond Lakini hii ni kutokana na kukurupuka katika kuangali video!!!
Hii video ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa Diamond ni Mbunifuu sanaa na...
Staa wa Bongo Fleva, Msami Baby, anayetamba na kibao chake kipya cha So Fine, alichomshirikisha rapa machachari, Chemical amefungukia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa, Irene Uwoya...
Wanajamvi salaam
Nimeona video ya wimbo mmoja wa lavalava na linex. Nimeshangaa kuona eti lavalava amepanda na viatu kitandani hizi video za kibongo kazi kweli kweli
Sent using Jamii Forums...
Mm ni mkereketwa namba moja wa wasafi yaani huniambii kitu kuhusu wcb_wasafi but kuna tabia fulani naiona ni unprofessional, hii ni tabia ambayo kwao wanaiona nzuri but kwa upande mwingne ina...
Kufuatia kusambaa mitandaoni kwa video inayoonesha mashabiki wa EFM wakimzomea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akiongea nao siku ya tamasha lilioandaliwa na EFM linalojulikana kama komaa...
Msanii wa hiphop Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua kwa kuwa watu wanamuona yeye ni mgumu kwakuwa anafanya mziki wa hiphop ngumu ila amethibitisha kuwa anaweza kucheza singeli kama wadada wengine.