Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, nyimbo pekee nionavyo mimi ambayo kidogooo inaweza pambanishwa na seduce me ya ALLY KIBA ni nyimbo ya msanii huyohuyo inayoitwa AJE kwanini nasema hivyo...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Alikiba ni bonge la msanii hapa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, ni mbunifu, aibi mashairi wala melody kwa mtu yoyote yule. Hua anakaa kimwa mda mrefu na anakuja na kitu kizuri zaid na ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Diamond platunumz amepost katika ukurasa wake wa Instagram huku akionesha ushahidi ambao unathibisha ukweli wa ndoa yao kukaribia Zarithebossylady ambaye ametoka Afrika Kusini yupo nchini...
6 Reactions
81 Replies
13K Views
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Idris Sultan. Wapendanao ndiyo wapatanao! ndivyo walivyosikika baadhi ya mashabiki wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Idris Sultan...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Najaribu kununua wimbo maarufu wa Kitanzania, kwenye tovuti maarufu ya Kitanzania lakini siupati na haupo. Zaidi ya yote hakuna hata wimbo mmoja wa King, mwenye Bongo Fleva yake... Sio poa...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Aliyekuwa anajiita rais wa masharobaro au ukipenda muite Mr Chocolate Flavor, Bob Junior hatimaye amlilia Diamond Platnumz na kumlaumu kwa nini amemtupa? Bob Junior roho inamuuma kwa kuwa yeye...
7 Reactions
42 Replies
17K Views
Aman iwe nyanyi wapendwa wa mungu Lengo si kulinganisha ip ngoma kali kati ya zilipendwa na seduce me mana hakuna asiyejua seduce me ni kali zaid ya zilipendwa. Ngoma ni nzur lakin si nzur kama...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Hivi huyu mmakonde aliyepata kiki kwa ishu za ajabu ajabu kama vile kukimbia bastola iliyonyoshwa kwa mh Nape na mengine mengi mbona kimya. Amepotelea wap wakuu. Anayejua ukimya wake...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Lengo kuu la uzi huu ni kuweka historia sawa.Naomba sana mods msiunganishe na uzi mwingine. Nadhani wote tunakubaliana kuwa EX hawaachani bali wanatengana tu kwa muda endapo mmoja akiamuwa...
4 Reactions
83 Replies
8K Views
Msanii anaye hit kwa sasa na hit song inayo kwenda kwa jina la seduce me Alikiba amezungumza kwa mara ya kwanza na kufunguka mengi Alikiba amesema kila mtu anajua ubaya ambao unafanyika juu yake...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Ww diamond ni msanii mkubwa sana na ulikuwa umejijengea heshima kubwa sana kwenye jamii kutokan na kazi zako za mziki. Ni mtu ambaye ulikuwa una deel na kazi zako tu, ulikuwa siyo mtu wa mabifu na...
23 Reactions
141 Replies
14K Views
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez...
22 Reactions
185 Replies
18K Views
Mayweather ameendelea kuhidhirisha ubabe wake baada ya kumpiga McGregor kwa T.K.O katika round ya kumi........ Round 1:McGregor anarusha ngumi kwa kasi na kumpeleka Mayweather kwenye...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Kwenu wanajamvi... ni mtazamo tu. Walengwa wakubwa hapa ni wanamuziki na wanafilamu. Nikianza na wanafilamu, hawa sanaa yao imepoteza mvuto siku nyingi kinachofanyika ni kurudisha mvuto. Hata...
1 Reactions
2 Replies
787 Views
Alfajiri ya leo kulifanyika tuzo za Mtv Video Music Awards uko Inglewood, California zilizohostiwa na msanii mkongwe Pink. Katika tuzo izo Rapper Kendrick Lamar kutokea Compton, California aliweza...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Makonda ameandika ujumbe wa kuwapatanisha Ali Kiba na Diamond. Kama mkubwa na mlezi wa mkoa hana budi kufanya vile, lakini mbona yeye na Ruge alisubiri mpaka Rais awapatanishe?
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kumekuwepo na tetesi kuwa Eatv na Ea Radio hawapigi nyimbo za Diamond na kwamba kuna ugomvi leo katika pitapita zangu nika kutana na hii habari kwenye blog ya Eatv "Rapa Fid Q amefunguka na...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Inashangaza kuona kazi imefanywa na band ya Wcb ikijumuisha wasanii wote wa Wcb lakini huyu gwiji wa mitandao ya kijamii katoa pongezi kwa msanii mmoja tu inamaana wengine hakuwasikia au kuwaona...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndo nini sasa ulichofanya? Mwenzako kazindua ngoma ili kumuharibia mwenzio na ww ukazindua hahaaa sasa tuone nani ataibuka kidedea Hicho kifundo cha rohoni ndo kinakusumbua umekosea tu hujui...
7 Reactions
34 Replies
48K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…